TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

Oh My God! You have gone too soon. Nimeskia kazaliwa mwaka 1985. My condolence. Ni mojawapo ya wachekeshaji niliokuwa nakubali sana kazi zao.
 
buriani sharo millionare Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amen!
 
ooooh my god kumbe kweli nimepata msg saa nne usiku nikajua utani ,matangazo yake na mzee majuto huwa nikiyacheki nabaki kucheka mwenyewe RIP sharo milionea,tulitoka mavumbini na mavumbini tutarudi

Hivi jina lake la ukweli alikuwa anaitwa nani maana mie najua tu hilo Sharo baro

usinichafue men..

anaitwa Ramadhani Hussein
 
Dah!

Inauma sana aisee. Anyway...... RIP meen!
 
Dah! So sad,sharo was unique,nikiangali movie yake ya back from america huwa siichoki,rest in peace meen?
 
Eti nae alikua Freemason yakamkuta ya Kanumba,
Radio Mbao bana!!
 
R.I.P Shalo Millionea, yale matangazo ya Airtel na Mzee Majuto wameyatendea mema, watoto wanayapenda sana, hata mwanangu km analia akisikia moja kati ya yale matangazo basi anaahirisha kulia, anyway njia toka Segera hadi Tanga nyakati za usiku ni mbaya sana, ina kona nyingi na malori ukikutana nayo huwa yanawasha full light so yawezekana kilichowakuta timu ya prisons ndicho kilichmkuta Shalo na kwa Harrier na mwendo wake basi ikawa hivyo. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI.
 
Bado wewe mwenyewe..!!Wote sisi ni marehemu watarajiwa.kwahyo usijione una muda mwing wa kuishi.Ni kuombeana kheri tu katika maisha.

Kwani wewe Diamond?
Maana Povu limekutoka Bro.
Punguza munkari,utakufa siku si zako.
 
Mambo ya wasani kuwanya kazi bila kuwa na menager!
na pia uzembe wa serikali kuwaachi mamenager wa wasanii wawanyonye ka kupe!
 
Back
Top Bottom