TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

daah nilikuwa sijaipata hii wakuuu, kunamwenye mapicha yake nini source?? ajari au ni nii???
 
RIP na ndugu pole, lakini alikuwa mwiba kwa TIGO na Voda, amehamisha wateja kwa mara moja! mpaka wakayumba. Kweli ivumayo haidumu.
 
Fika salama ila ucsahau kua nami niko njiani nakuja kwahiyo niwekee nafac
 
Kafariki jana nimepata tarifa mishale ya saa tatu usiku kapata ajali ya gari maeneo ya muheza Tanga.R.i.p millionear
 
madam iq yako iko juu sana,,

mimi pia hua nashangaa sana wakati mwingne

yan kama kuna mdau kaleta habari ya kuhuzunisha tuseme kama ya kifo iv,mtu akilike ile thread au ile habari eti anahukumiwa kwamba kafurahishwa na ile habari had kaamua kuipa like kitu ambacho its soo nonsense,,mtu anakua amelike kwa kuguswa kwake kwa kuipata ile habari na sio kma kafurahishwa na taarifa ile ya simanzi,,ieleweke kiivo..

Wakuja hao.
Wamekuja mjini na mbio za mwenge.
 
na ningejua ya kwamba waumia kiivi hata ile pole yenyewe nisingekupa

nimegaili sasa,nishaifuta pole yangu,,

chukua hizo za wengne zikufariji,,ya kwangu,,mmh mmh,,hapana

nimeichukua pole yangu

Acha wenge wewe.
NIPE POLE YANGU THE BIG SHOW WEWE.
 
Last edited by a moderator:
Oooh Maama.. Gone too soon, mafanikio ndio yalikua yanaanza maskini, kweli hatujui kesho ikoje tuishi kwa amani.. Tangulia salama Sharo
 
R.I.P Mdogo wangu, nilikuwa shabiki wako hasa kwenye kila tangazo lako
 
Polen sana watanzania wote hasa bongo movi pamoja na wanafamilia wote na wapenz wote wa sharo mana najua tumepata pengo kubwa ktk tenesia ya filamu hasa comedy najua hatuwez kukuöna tena.Mapenzi yake mola yatimizwe km apendavyo yeye.raha ya milele uwape ee bwana na mwanga wa milele uwangazie wapumzike kwa aman.R.I.P. SHARO



0




0
 
daah nilikuwa sijaipata hii wakuuu, kunamwenye mapicha yake nini source?? ajari au ni nii???


Nachukia sana watu mnaoanika miili ya marehemu wakiwa katika hali mbaya kama Mwehu mmoja alivyofanya ktk moja ya uzi hapa jamvini. Ni vizuri mkaacha tabia hii fikiria ungekuwa wewe ungefurahi
 
duh Rest in Peace....

hii nchi bana..ajali kila siku....

ajali zimezidi sababu watu wanadharau sheria kwa kufanya makusudi huku wakijua ni hatari ya kugharimu maisha au hawajui sheria huku wanataka kuendesha magari iwe isiwe lazima waonekane barabarani kwenye usukani
inasikitisha kijana mwenye kipaji kama huyu kuondoka duniani,wasanii wachache hapa Tz wanakipaji kama chake
 
Ee MUNGU mlaze mahali alipopachagua yeyemwenyewe enzi za uhai wake.
 
Back
Top Bottom