TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

Mm limenigusa sana, nikiangalia Tangazo la Airtel na alifanyia huku mitaa ya kwetu, nyimbo yake hii mpya ya mbuzi kalamba chuma cha Reli, movie zake na King Majuto, matangazo yake pale Tazara kwa Bakhresa etc
Mimi nikaona haya:-
1. Ktk ulimwengu, hasa wa Roho unapofanikiwa wengi huinuka na kuwa maadui na watapambana nawe tu, so ni vyema kuwa makini mno.
2. Ni tutambue kuwa cc wapitaji tu, ni vyema tujiandae muda wowote, ipo cku yaja uhai wako utakapotoka kwa sekunde na kila kitu kitabaki hapa na utasahaulika.
3. Sisi tuliobaki tujifunze, Mungu awabariki sana.
 
Mtoto wangu baada yakupata hizi taarifa amehuzunika sana hata shuleni leo sijui atajisikiaje? all in all R.I.P Sharo wa Ukweli!
 
Kweli kifo kitu kingine, imeniuma sana halafu itv wanaweka tangazo lake la Airtel kila baada ya dakika 5,wananizidish4a machungu POLE SANA KING MAJUTO r.i.p Sharo
 
Mbona Haieleweki Hii au Ni Cooked? Mbona inaonyesha Sharo Alituma 10:47 PM Mon wakati ajali amepata 08:00 PM Mon?

attachment.php
 
kama kumbu kumbu zangu ziko vizuri sharo anakuwa msanii wa tatu kufariki akiwa anafanya kazi karibu na mzee majuto........anyway RIP sharo!

kweli huyu mzee hafii ataiweje nackia bongo muvi wanachezeana sana maskini wamemuona anaanza kupata mafanikio kununua gari jpya
 
R.i.p sharo, mungu ndio ana jua pakukulaza, mimi nitazidi kukuombea!
 
Back
Top Bottom