TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

what is happening?sorry sio kama hastahili kufa but mazingira ya wiki hii tu.....hapa naangalia interview ya maganga,anavyoelezea malengo aliyokuwa nayo basi tu jamani mwacheni Mungu aitwe Mungu.Panga kila jambo katika maisha yako,pumzi mwachie Mungu.R.I.P brothers.
 
R.I.P sharobaro,umemaliza safari yako meen!
 
Msanii wa filamu za vichekesho sharomilionea amefariki kwa ajali mkoani tanga eneo la muheza
 
ni yule aliye pamoja na mzee majuto katika tangazo la airtel money (Unatoa wapi menn......?)

Okay, naweza kumkumbuka labda, ahsante ndugu yangu kwa ufafanuzi.
 
Pole kwa wapenzi wake na wateja airtel money Mungu.ailaze roho yake mahala pema peponi
 
Duh mungu amlaze mahali pema.....
Mwisho wa mwaka hivk huwa kjna nini.?
Kwanini kuna ajali nyingi?
Kuna tatizo....
 
Duuuuh, dogo alazwe pema peponi aiseee. Inauma ila marufuku ''kugonga like'' uzi huu
 
sasa kama aliiishi maisha ya kipumbavu pumbavu akifikiri muda bado. sasa imeshakuwa mbaya. kifo tunatembea nacho wajameni. RIP MEEN!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…