TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

Wakuu,
Kuna habari kuwa yule Msanii Maarufu wa Tasnia ya Maigizo na Uimbaji Sharobaro a.k.a Sharo Millionaire amepata ajali na Kufariki
Naendelea kufuatilia , kama kuna mwenye complete info anaweza ku update hapa
 
jamani eeh!hizi habari hazijathibitishwa!tuombe mungu amnusuru
 
'Sharo Millionea' ndio nani huyo?!

Ndio Huyo Meeen.
Sharo.jpg
 
Inasikitisha sana yaani....
RIP Sharo

Kwani ukweli umeshapatikana? kama tayari basi na mimi nasema R.I.P, kama bado ndio nimeshamtolea kabisa R.I.P. yake!!
 
habari ambazo hazijathibitishwa zinasema mchekeshaji sharo milionea ..sharobaro kapata ajali na kufariki dunia huko Tanga source...channel 10
 
mmh sharo anayeigiza sana na king majuto au nimemix madesa!??
 
Back
Top Bottom