Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana yaani....
RIP Sharo
Hakuna aliyethibitisha mpaka sasa. Hivyo ni tetesi!?sio tetesi tena? Rip sharo
sasa kama aliiishi maisha ya kipumbavu pumbavu akifikiri muda bado. sasa imeshakuwa mbaya. kifo tunatembea nacho wajameni. RIP MEEN!
Amini tu rafiki.....
mimi nimepigiwa simu sasa hivi kujulishwa.... usiulize mimi ni nani wake, lol!
Msanii wa filamu za vichekesho sharomilionea amefariki kwa ajali mkoani tanga eneo la muheza