Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... ni kifo ndicho kilichomuuaNini hasa kilichomuua SHAROBARO?
ajali ya gari... ni kifo ndicho kilichomuua
Wote tunafahamu ni ajali ya gari. Swali langu je ni alikuwa peke yake, alikuwa amelewa , speed kali, au ubovu wa barabara, ubovu wa gari , au hakuwa na uzoefu na driving. Sina maana mbaya maana kila inapotokea msiba pamoja na majonzi pia watu wanajifunza......R.I.P .
Ajali ya gari does not necessarily lead to homicide, unaweza ukavunjika kidole tu na maisha yakaendelea. Ili ufe lazima kifo kitokee. Kilichomuua huyo msanii ni kifo, sio ajali ya gariajali ya gari
Kutokana na mahojiano na binti ambaye alikuwa analia jana Star TV, alisema ndio alikuwa amenunua gari anamwita kuwa njoo uendeshe gari nimenunua gari, inawezekana kabisa alikuwa dereva mwanafunzi. (pamoja nakuwa unaweza kuwa hun a gari lakini unajua kuendesha). RIP
kwa hiyo ni ulimbukeni wa gari...mana kwanini mtu anunue gari kama kuendesha na leseni hana?