TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

Ukiangalia gari na mwili wa marehemu utaona kama vile hakufunga mkanda. So ile kichwa kujigonga mara nyingi ndoo naisrael kaibukia hapohapo R.I.p
 
Picha ya tatu,huyo jamaa inaonyesha amekata tamaa na maisha na hana matumaini hawa ndiyo wapolaji wenyewe!!!

hahahah si ajabu anatafuta spare au chuma chakavu...
 

Kama alitupwa nje ni wazi alikuwa hakufunga mkanda. Ndio maana nimesema alikuwa dereva mwanafunzi na si dereva alikuwa mwendesha gari. Wengi wetu ni waendesha magari na si madreva! All in all, RIP
 
Du kweli hapo kupona ama kutoka mtu hai ingekuwa ni kwa neema tu basi.Yaani kama haina insurance ni kwamba jamaa ataenda kuchukua screpa tu basi
 
Dah...alishaambia kifo kimesbabishwa na ajali, chanzo cha ajali ni overspeeding kwenye kona akashindwa kulimudu gari. alikuwa na nani alikuwa kwenye hali gani, alikuwa amelewa hakuna anaeweza kujua kwa sasa. RIP Sharo
KHA! MTU PEKEE wa kuulizwa ni yeye na ndio hivyo kafa
hapa utaendelea kutopata majibu maana wote tumepata taarifa.
pili kashazikwa hata tuongee au kujua chanzo haitasaidia kitu.
polisi washasema alikuwa mwenyewe.
vp unataka mrudisha?
 

wote hatujui, ila namuomba mwenyezi mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi amina.
 
Sharo ni yule katibu mkuu wa kile chama cha upinzani au sio yeye.Manake na mchanganya sana
 
Gari aliazima kwa rafki yake ambae huyo rafkiake gari ni ya mama yake.yeye alinunua opa majuzi na badn hakuwa mzoefu wa kuendesha
 
Halafu jamaa hakufunga mkanda,pengine angefunga uwezekano wa kuwa hai ungekuwepo,mikanda muhimu jamani,tusifunge kwa kuhofia trafiki tu,ni salama yetu pia.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…