Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
du ilikuwa ajali mbaya sana. Sijui kama alifunga mlango.
Haya magari tunayaringia bure tuu lakini sio friendly kwetu.
Picha ya tatu,huyo jamaa inaonyesha amekata tamaa na maisha na hana matumaini hawa ndiyo wapolaji wenyewe!!!
Cha kujifunza ni kwamba huyu jamaa hakuwa amefunga mkanda. Vijana wa kileo wanafunga mkanda pale anapoona traffic police wapo mbele, hawajui kwamba mkanda ni mwokozi namba moja endapo gari litapinduka. Huyu kijana alikuwa hakufunga mkanda ndio maana alitupwa nje ya gari. Inawezekana angekuwa amefunga mkanda, asingekutana na umauti.
Jamani tujifunze kufunga mikanda hata kama ni kwa safari fupi tu, ajali haiagi na haina kinga vile vile!!!!
Tiba
du ilikuwa ajali mbaya sana. Sijui kama alifunga mlango.
Precisely, mkuu!!hahahah si ajabu anatafuta spare au chuma chakavu...
KHA! MTU PEKEE wa kuulizwa ni yeye na ndio hivyo kafa
hapa utaendelea kutopata majibu maana wote tumepata taarifa.
pili kashazikwa hata tuongee au kujua chanzo haitasaidia kitu.
polisi washasema alikuwa mwenyewe.
vp unataka mrudisha?
mtahoji saaaaaana lakini mwisho wa yote jibu ni kwamba sharo amefariki katika ajali ya gari,
Wote tunafahamu ni ajali ya gari. Swali langu je ni alikuwa peke yake, alikuwa amelewa , speed kali, au ubovu wa barabara, ubovu wa gari , au hakuwa na uzoefu na driving. Sina maana mbaya maana kila inapotokea msiba pamoja na majonzi pia watu wanajifunza......R.I.P .
gari ilikuwa na cancer!!!!:shut-mouth:
Ajali ya gari ilimsababishia majeraha khaaaaaa. Lazima unataka usikie karogwa!!!!!
alipigwa jini akawa haioni barabara,chezea tanga veve