Amini tu rafiki.....
mimi nimepigiwa simu sasa hivi kujulishwa.... usiulize mimi ni nani wake, lol!
huyo huyo..
Kweli jamaa kavuta jamani nimesikiliza Magic Fm muda si mrefu.R.I.P Meen
Msanii wa filamu za vichekesho sharomilionea amefariki kwa ajali mkoani tanga eneo la muheza
RiP Kitale
Sina uhakika sana na taarifa yako sijaona kituo chochote cha TV kilichotoa Breaking News juu ya hilo hususani EATV, tunaomba kupata chanzo cha hiyo taarifa yako.