TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

Dah lyf z too shot' 2pendane wana JF..r.i.p sharo
 
There are currently 561 users browsing this thread. (73 members and 488 guests)
 
View attachment 72584
KWA habari Tulizozipata hivi punde kutoka kwenye UKURASA wa nani mkali wa Tanzania ni kwamba yule msanii wa BONGO FLEVA na mwigizaji maarufu wa vichekesho hapa NCHINI 'SHARO MILONEA; haatunae tena. Taarifa zaidi kuhusu kifo chake na sababu hasa bado hatujazipata,ENDELEA KUWA NASI wakati waandishi wetu wakiendelea kufuatilia kwa kina undani wa habari hii na tutakujuza hivi PUNDE.............
chanzo cha habari ni:
http://talkbongo.blogspot.com/2012/11/breaking-newzzzzzz-msanii-sharo.html
 
Channel 5 saa ngapi mi nipo naangalia Top Ten za Western mbona sijaona?

Sasa kama hutaki tujufanyeje? Mbona wenzako tumeona na kusikia wewe una mchina macho yote umekodolea hapo utasikiaje matangazo ya radio au Tv?
 
R.I.P shallow milionea. Nami nimeisikia breaking news radioni. Mungu ametoa Mungu ametwaa.
 
Kamanda wa Polisimkoani Tanga, Constatine Masawe amekiri kutokea kwa msiba wa Sharobaro, baada ya kupata ajali katika kijiji
cha Lusanga, Muheza ambapo pia ndio nyumbani kwao. Sasa naweza kusema R.I.P Sharomilonea.
 
Duh!...nayo hii ni siasa?? au haraka za kutupia post men....umebugi men.....

:focus::focus:
RIP Sharo......................:amen:
 
Kamanda wa Polisimkoani Tanga,
Constatine Masawe
amekiri kutokea
kwa msiba wa Sharobaro,
baada ya kupata ajali katika kijiji
cha Lusanga, Muheza ambapo pia ndio nyumbani
kwao. Sasa naweza kusema
R.I.P Sharomilonea.

King Kong III weka na hii kwenye post ya kwanza
 
Last edited by a moderator:

hv cn u prove beyond reasonable doubt tht God is concerned wd hs pples death ama mnasemaga 2,GOD has nothng 2do wd ur death,thnk beyond ur 5 senses,uwez kua mlevi upate ajal then utwambia ni mungu,idnt mean sharo alikua kalewa,if u appriciate creation then apriciate deaths.rest in peace bro!
 
Ni kweli badungu home boy amefariki dunia kwa ajali eneo la maguzoni.

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Ameen
 
Sasa kama hutaki tujufanyeje? Mbona wenzako tumeona na kusikia wewe una mchina macho yote umekodolea hapo utasikiaje matangazo ya radio au Tv?
Cha muhimu mnatakiwa mseme EA Radio na sio Channel 5 hilo halijatangazwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…