Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Channel 5 saa ngapi mi nipo naangalia Top Ten za Western mbona sijaona?
1.Mlopelo
2.Big John
3.Sharo Millionea
R.I.P
"Sir God anafunga mahesabu yake", hivi ndivyo tumekuwa tunaambiwa toka utoto.
Duh!...nayo hii ni siasa?? au haraka za kutupia post men....umebugi men.....Habari nilizozipata hivi sasa wandugu zimenishtua sana. Zinasema kuwa msanii maarufu wa maigizo Sharo millionea mzee wa swagga, umebugi men, AMEFARIKI DUNIA kwa ajari ya gari usiku huu huko Muheza Tanga. Naandika thread hii na tangazo lake la Airtel linapita. Innalillahi wainnailayhi r- aajiun. Tumepoteza jembe lingine.
Source: Channel 5
There are currently 561 users browsing this thread. (73 members and 488 guests)
Kamanda wa Polisimkoani Tanga,
Constatine Masawe
amekiri kutokea
kwa msiba wa Sharobaro,
baada ya kupata ajali katika kijiji
cha Lusanga, Muheza ambapo pia ndio nyumbani
kwao. Sasa naweza kusema
R.I.P Sharomilonea.
what is happening?sorry sio kama hastahili kufa but mazingira ya wiki hii tu.....hapa naangalia interview ya maganga,anavyoelezea malengo aliyokuwa nayo basi tu jamani mwacheni Mungu aitwe Mungu.Panga kila jambo katika maisha yako,pumzi mwachie Mungu.R.I.P brothers.
Cha muhimu mnatakiwa mseme EA Radio na sio Channel 5 hilo halijatangazwa.Sasa kama hutaki tujufanyeje? Mbona wenzako tumeona na kusikia wewe una mchina macho yote umekodolea hapo utasikiaje matangazo ya radio au Tv?