TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

kifoo ooh kifo
Kifo hakijali umwamba wako
Kifo hakijali cheo chako
Kifo hakijali jeuri yako
Mbele ya kifo hautambi, kifo ni kiboko yao...

R.I.P Dr Remmy...
 
kama ni kweli
ALIYETOA NDO ALIYETWAA,KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA
R.I.P BRO
 
watu wazima mnaleta masihara ya kipumbavu

Upumbavu kivipi mh Remote ? Kutoa Habari kama hii kuwajulisha watanzania wasiokuwa na access na local tv za bongo ni Upumbavu? Haya Mwelevu ebu tupe uelevu wako...
 
Last edited by a moderator:
your not normal..
That is to say your mental unfit

nakupa ushauri mzuri, ili uwe mtu wa kumtegemea mungu ili ukifa hata ghafla uurithi ufalme wake unaniona sina akili, haya endelea kunywa wanzuki, kufanya zinaa, kusema uwongo. etc halafu mwisho wa siku tutaona kama uko MENTAL FIT. you should know that we are walking with death! Tumeshasema R.I.P sana mpaka lishakuwa neno la kwaida. Haya endelea kuniuona mm ni kichaa!
 
Back
Top Bottom