TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

ndani ya wiki moja wasanii watatu tena wa maigizo wametangulia mbele za haki inasikitisha sana, ila kaz ya mola haina makosa, msalimie kanumba sharo
 
Kina Steve nyerere na Ruge naskia washaanza kupigiana simu kuunda kamati ya mazishi..soon watatoa namba za mpesa na tigopesa...rip shalo

Na mm nataka nitoke wasinisahau kifo cha kanumba jamaa wametengeneza pesa ndefu sana
 
Dah mbona yule aliyefariki asubuhi hammzungumzii
 
Duh mungu amlaze mahali pema.....
Mwisho wa mwaka hivk huwa kjna nini.?
Kwanini kuna ajali nyingi?
Kuna tatizo....
"Sir God anafunga mahesabu yake", hivi ndivyo tumekuwa tunaambiwa toka utoto.
 
Kina Steve nyerere na Ruge naskia washaanza kupigiana simu kuunda kamati ya mazishi..soon watatoa namba za mpesa na tigopesa...rip shalo

Steve nyerere ndo wa kwanza kurusha taarifa jamaa kimbelembele balaa ndo maana kadumaa mwili mdogo sura ya kizee
 
Habari nilizozipata hivi sasa wandugu zimenishtua sana. Zinasema kuwa msanii maarufu wa maigizo Sharo millionea mzee wa swagga, umebugi men, AMEFARIKI DUNIA kwa ajari ya gari usiku huu huko Muheza Tanga. Naandika thread hii na tangazo lake la Airtel linapita. Innalillahi wainnailayhi r- aajiun. Tumepoteza jembe lingine baada ya Stephen Kanumba

Source: Channel 5
 
alikuwa anaenda kwao muheza alikuwa mwenyewe kwenye gari .. Alipata ajali sa mbili.
Confirmed.
 
ni kweli kafariki na kamanda wa polisi kathibitisha kuwa kwenye gari alikua mwenyewe
 
RIP men that's the way for every created creature.
 
Dah!kwa kweli huyu jamaa nilikuwa napenda vituko vyake.Pumzika kwa amani mzee wa meeni!
 
Back
Top Bottom