Sharobaro wa Kihaya, mchekeshaji wa Futuhi acha kujichubua

binafsi sioni alama za kujichubua,pengine ni chuki binafsi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama kweli wanaume mnazidi kupungua. Haya huyoo kaona ucheusi mangala haumfai kaamua kujikwatua. Aiseee 🤔
Mtani unaniaibisha sasa, hapo kwenye picha anaonekana kajichuna?
Au tunachangia tu ili mradi?
.
Tatizo la hiyo picha ni kulegeza kwake macho tu na uskute ndivyo alivyo, mtazame Swicha baba (Quick racka) ana macho mazuri kuliko Irene Uwoya ukibahatika kumuona hajavaa miwani njoo ulete ushuhuda useme anajirembulisha au ndo alivyo
 
Kwenye kung'aa huwa Elimu inawekwa pembeni Mkuu.
 
Hivyo hiyo ndio rangi yake Mtani?

Kuchangia ili mradi ndio aje? 🤔
 
Tatizo la hiyo picha ni kulegeza kwake macho tu na uskute ndivyo alivyo, mtazame Swicha baba (Quick racka) ana macho mazuri kuliko Irene Uwoya ukibahatika kumuona hajavaa miwani njoo ulete ushuhuda useme anajirembulisha au ndo alivyo
Kama unamjua nje ya hiyo picha ndio utueleweshe sasa Mtani ili tujue hajichubui na hata hilo la kurembua pia.
 
Hivyo hiyo ndio rangi yake Mtani?

Kuchangia ili mradi ndio aje? 🤔
Yani ndivyo alivyo huyo tena ni mweupe zaidi hiyo screenshot imemzurumu mtani.
.
Kuchangia ili mradi ni kila mtu anaunga mkono hoja ya wa stendi kwamba kajichubua ilihali hamumjui mtani wengine tunamjua way back uliza wakazi wa butimba
 
Ooh. Sawa.

Ila nikwambie Mtani anayejichubua hata kwa picha tu anaonekana.
 
Yani ndivyo alivyo huyo tena ni mweupe zaidi hiyo screenshot imemzurumu mtani.
.
Kuchangia ili mradi ni kila mtu anaunga mkono hoja ya wa stendi kwamba kajichubua ilihali hamumjui mtani wengine tunamjua way back uliza wakazi wa butimba
Hahahaaa. We unayemjua huko Butimba Mtani ndio ungekuja kutuaminisha ka hivi sasa na sio maneno mingi mingi kama Manara. Teh teh

#Wekapichayakenyinginetuonehuoweupemtani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…