Sharon Julius ndo mshindi wa tatu wa Miss Elite World. Ole wake aseme ushindi wa Samia

Sharon Julius ndo mshindi wa tatu wa Miss Elite World. Ole wake aseme ushindi wa Samia

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Tanzania kumtokea upumbavu fulani. Mtu tunamshika mkono huku chini. Akifika juu anaanza kujimaliza. Sijui ushindi huu ni zawadi ya Mzanzibar Samia sijui bila yeye tusingefika hapa. Ukome na ukisema tunakutia mimba unakuwa singo maza. Japo ni nafuu kuliko mjane.

Ipo hivi,Sharon amefanikiwa kushika nafasi ya tatu (Second Runner-Up) katika mashindano ya Miss Elite World, yaliyofanyika nchini Misri.

Sharon amefanikiwa kushika nafasi hiyo kati ya warembo kutoka mataifa 40 yaliyoshiriki katika mashindano hayo. Mbali na mafanikio hayo, Sharon pia amefanikiwa kutwaa taji la Vazi Bora la Taifa (Best in National Costume), baada ya kuvutia majaji kupitia vazi lililowakilisha utamaduni na utambulisho wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom