Zinavutia natamani kununua lakini sijapata maelezo ya kutosha kuhusu uzuri na ubaya wa simu hizi
Gaming, smoothness, faster less lag, optimal camera, battery power( heavy user)Inategemea mkuu unataka nini xperia 10 iii ni midrange wakati inatoka na kwa sasa ni lowend kabisa kitu kinachoitofautisha hii simu inakaa sana na chaji, pia ina usb 3.1 unaweza kuitumia kama "deki" kwenye tv yako ukaangalia mpira, movies etc.
Sema ni 10 III na sio 10 II maana hizi simu zinafanana na mark II ndio zimejaa.
Battery life ikoje?, haichemki? Vip camera, chipset yake ni jangaNiko na R 6 shida ni moja... Speed ni kubwa ukiw na bando sa kupimiwa kwa vijiko utafilisika bila Intarnety bila kikomo .
Unagusa tuu ishafunguka kila kitu
RAM 12GB
ROM 128 GM
Display ni 6.67 edge
Kwa wapenzi wa muvi hizo ndo simu zenu maana kioo ni full display
Wale pia wapenzi wa game ndo zenyewe hazi stack Ram ni kubwa.
Nilichukuaga used
Sense 5G compared na R6 ipi iko juu?Ipo Aquos yenye same soc sd 690 ambayo kiutendaji haitotofautiana na hio Sony, Sharp Aquos sense 5G. Midrange inayokaa na chaji. Kama lengo ni simu isiyopata joto, inayokaa na chaji bila kujali camera na perfomance basi inafaa.
R6 ipo juu Camera, Display etc sema haitakaa na chaji na matumizi heavy itapata jotoSense 5G compared na R6 ipi iko juu?
Achana nayo mkuu, go for S20FE Samsung ama simu yoyote yenye snapdragon 865/870 kama Oneplus 8, LG V60, Xiaomi 10 series etc hizi unazipata humo humo bei na imakidhi unayotaka.Gaming, smoothness, faster less lag, optimal camera, battery power( heavy user)
Camera yake ni kali ila sio kama hizoHii ndo nilikuw naitaka, uses from.....?
Vp. Quality ya camera ina mfanano na simu zip
Iphone
Samaung
Pixel?
Wanacheza na akili za watu coz watu wengi wanaangalia camera hawaangalii features nyingine kama processorHata mimi nashangaa kwanini zinauzwa bei rahisi
Izo chip hapo bei yake imechangamkaAchana nayo mkuu, go for S20FE Samsung ama simu yoyote yenye snapdragon 865/870 kama Oneplus 8, LG V60, Xiaomi 10 series etc hizi unazipata humo humo bei na imakidhi unayotaka.
Around laki 3 mpaka 4 mkuu kwa simu za sd 865.Izo chip hapo bei yake imechangamka
Aawee laki 3 hupati,sd 865 still bado ghaliAround laki 3 mpaka 4 mkuu kwa simu za sd 865.
Aawee laki 3 hupati,sd 865 still bado ghali
Wahuni hawa
Ingia FB marketplace search S20
Hii samsung bei gnAchana nayo mkuu, go for S20FE Samsung ama simu yoyote yenye snapdragon 865/870 kama Oneplus 8, LG V60, Xiaomi 10 series etc hizi unazipata humo humo bei na imakidhi unayotaka.
300-400K refurbHii samsung bei gn
Kwa uzoefu chukua R6 hii naitumi najua uhalisia wake
That's it ni siku ya pili iko very smooth ila chaji ni mtihani na Mimi ni full time user. Itanitesa sana halafu ina dedicated eSIM badala ya traditional dual sim cards. Nacho kipengele nataka ninunue kitochi tuR6 ipo juu Camera, Display etc sema haitakaa na chaji na matumizi heavy itapata joto
Mkuu hii bei uongo hapo k koo wezi, fb market unakuta s23 eti 400, hii simu haiez kuwa nzima300-400K refurb
Mkuu kote bei ni hizo hizo, simu Ya miaka 4 iliopita unataka iuzwaje? Midrange nyingi za sasa hivi zina perfomance kuliko sd 865. Personally nilinunua na mtu simu ya sd 865 kkoo kwa 320,000 mwaka jana.Mkuu hii bei uongo hapo k koo wezi, fb market unakuta s23 eti 400, hii simu haiez kuwa nzima
Bei gani uli nunuaKumbe ilikuwa flagship phone hii. Sema spec wise hawa SHARP wako vizuri sana kwenye soko la simu zetu za ki Dubai. Google pixel ya specs hizi inauzwa bei ghali Sana.
Nimejaribu kuiondoa kwenye Band ya 5G nimeweka 4G Acha nione kama itasaidia maana nayo inameza bando sio mchezo.