Sharp Aquos

Sharp Aquos

Inategemea mkuu unataka nini xperia 10 iii ni midrange wakati inatoka na kwa sasa ni lowend kabisa kitu kinachoitofautisha hii simu inakaa sana na chaji, pia ina usb 3.1 unaweza kuitumia kama "deki" kwenye tv yako ukaangalia mpira, movies etc.

Sema ni 10 III na sio 10 II maana hizi simu zinafanana na mark II ndio zimejaa.
Gaming, smoothness, faster less lag, optimal camera, battery power( heavy user)
 
Niko na R 6 shida ni moja... Speed ni kubwa ukiw na bando sa kupimiwa kwa vijiko utafilisika bila Intarnety bila kikomo .

Unagusa tuu ishafunguka kila kitu
RAM 12GB
ROM 128 GM
Display ni 6.67 edge

Kwa wapenzi wa muvi hizo ndo simu zenu maana kioo ni full display

Wale pia wapenzi wa game ndo zenyewe hazi stack Ram ni kubwa.


Nilichukuaga used
Battery life ikoje?, haichemki? Vip camera, chipset yake ni janga
 
Ipo Aquos yenye same soc sd 690 ambayo kiutendaji haitotofautiana na hio Sony, Sharp Aquos sense 5G. Midrange inayokaa na chaji. Kama lengo ni simu isiyopata joto, inayokaa na chaji bila kujali camera na perfomance basi inafaa.
Sense 5G compared na R6 ipi iko juu?
 
1719769491388.png

1719769332542.png
 
Kwa uzoefu chukua R6 hii naitumi najua uhalisia wake

R6 ipo juu Camera, Display etc sema haitakaa na chaji na matumizi heavy itapata joto
That's it ni siku ya pili iko very smooth ila chaji ni mtihani na Mimi ni full time user. Itanitesa sana halafu ina dedicated eSIM badala ya traditional dual sim cards. Nacho kipengele nataka ninunue kitochi tu
 
Mkuu hii bei uongo hapo k koo wezi, fb market unakuta s23 eti 400, hii simu haiez kuwa nzima
Mkuu kote bei ni hizo hizo, simu Ya miaka 4 iliopita unataka iuzwaje? Midrange nyingi za sasa hivi zina perfomance kuliko sd 865. Personally nilinunua na mtu simu ya sd 865 kkoo kwa 320,000 mwaka jana.

Hata ukicheki ebay, Pinduo, Shopee na masoko mengine ya simu bei ni hizo hizo, Pinduo hapa naziona zina range 150,000-290,000 hizo ni rejareja, mtu wa jumla akichukua atashindwa vipi kuuza 300,000-400,000 huku?

Na simu ni refurbished, ina maana ilikua mbovu ikatengenezwa, sio mpya.
 
B
Kumbe ilikuwa flagship phone hii. Sema spec wise hawa SHARP wako vizuri sana kwenye soko la simu zetu za ki Dubai. Google pixel ya specs hizi inauzwa bei ghali Sana.

Nimejaribu kuiondoa kwenye Band ya 5G nimeweka 4G Acha nione kama itasaidia maana nayo inameza bando sio mchezo.
Bei gani uli nunua
 
Back
Top Bottom