Sharp Aquos

Kuwa na miaka nne sio sababu,
Ila sawa, sd 865 ni bora kuliko takataka nyingi za infinix, tecno na A series kibao,
Hayo sasoko kwel yapo lakin wengi ni waongo na wanauza simu mbovu kama hapo karia koo hakufai naiyo FB market sijui hamna, labda huko nnje n garama ya kuagiza unakuta uko mule mule400k plus
 
Zipo A series na kina Tecno ambazo zina nguvu kuliko sd 865, Exynos 1480 kwenye A55 ama Tecno na infinix zenye Dimensity 8000/9000 series.

Pia usafiri ni 30,000-80,000 kwa kilo, na kilo moja unatuma piece 2 mpaka 3 za simu, sio gharama sana kuleta simu toka nje kama unajua unachofanya.
 
Sijasema hazipo ila nyingi ni takataka kuanzia a25 kushuka chini, kuanzia a34 kushukachini hamna kitu humu, halafu izo chip zako za exonys zina kitabia cha kuchemka, SD ni best chip hakuna mwingine chukua iyo dimenstry yako 8000 chukua na sd 865 uone moto mzigo una cortex tatu mbili kubwa moja ndogoA77 na A 53
 
Bro unaongea vitu usivyovielewa. Dimensity 8000 series zinatumia Cortex A78 ambazo ni successor wa A77 ni nzuri kushinda 865, hii Vcurve ya D8000 na sd 865


Kwa power level yoyote ile Dimensity 8000 series zipo vyema zaidi inatumia umeme kidogo huku ikitoa perfomance kubwa zaidi, in short hio dimensity ni successor wa sd 865 japo watengenezaji ni wawili tofauti.
 
Mkuu hayo nimaadishi tu, A77 kwenye s20FE zikio mbili, chukua izo simu mbili zilinganishe halafu uje hapa
 
Mkuu hayo nimaadishi tu, A77 kwenye s20FE zikio mbili, chukua izo simu mbili zilinganishe halafu uje hapa
Sio ziko mbili ni frequency tu core moja inakua na frequency tofauti, jumla Snapdragon 865 ina core 4 za A77 core moja ipo clocked 2.84 GHz na core 3 zipo clocked 2.4Ghz. Dimensity 8100 ipo clocked 2.85Ghz core zote 4.

 
Sio ziko mbili ni frequency tu core moja inakua na frequency tofauti, jumla Snapdragon 865 ina core 4 za A77 core moja ipo clocked 2.84 GHz na core 3 zipo clocked 2.4Ghz. Dimensity 8100 ipo clocked 2.85Ghz core zote 4.

View attachment 3032571
Hvi hzi Sony experia zenye chata ya DACOMO

hazina shida upande wa network kibongo bongo??
 
Hata ufanyeje, Zero 6 inakula sana chaji hilo ishi nalo. Na pia Aquos zote zinachemka, ila kuchemka hakuna madhara kwenye matumizi ya kila siku isipokuwa kuna muda utataka uipumzishe.

Ukichukua Xperia 10iii utashangaa jinsi inavyokaa na chaji. Hata Pixel 6 na 5 zote hazisogei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…