Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Kuwa na miaka nne sio sababu,Mkuu kote bei ni hizo hizo, simu Ya miaka 4 iliopita unataka iuzwaje? Midrange nyingi za sasa hivi zina perfomance kuliko sd 865. Personally nilinunua na mtu simu ya sd 865 kkoo kwa 320,000 mwaka jana.
Hata ukicheki ebay, Pinduo, Shopee na masoko mengine ya simu bei ni hizo hizo, Pinduo hapa naziona zina range 150,000-290,000 hizo ni rejareja, mtu wa jumla akichukua atashindwa vipi kuuza 300,000-400,000 huku?
Na simu ni refurbished, ina maana ilikua mbovu ikatengenezwa, sio mpya.
Ila sawa, sd 865 ni bora kuliko takataka nyingi za infinix, tecno na A series kibao,
Hayo sasoko kwel yapo lakin wengi ni waongo na wanauza simu mbovu kama hapo karia koo hakufai naiyo FB market sijui hamna, labda huko nnje n garama ya kuagiza unakuta uko mule mule400k plus