Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Dah mi ugonjwa wangu ni simu inayokaa na charge, simu ya kila wakati kwenye socket inanipa wakati mgumu sana maana ndani ya masaa 24 muda ambao simu iko mkononi haupungui masaa 8.Hata ufanyeje, Zero 6 inakula sana chaji hilo ishi nalo. Na pia Aquos zote zinachemka, ila kuchemka hakuna madhara kwenye matumizi ya kila siku isipokuwa kuna muda utataka uipumzishe.
Ukichukua Xperia 10iii utashangaa jinsi inavyokaa na chaji. Hata Pixel 6 na 5 zote hazisogei.