Sharp boys and girls tupeni hizo mbinu za kusurvive mjini jamani

Unajiita proxy na hujui kutumia proxy upate hela 😅🙌
 
Hivi hawa ni legit? Au nitaliwa hata hiki kidogo nilichonacho?
 
Bila kuongeza value kwa mtu mwingine, au kutatua changamoto ya mtu mwingine hutaweza kupata hela

Vinginevyo uka bet
 
Hakuna hela ya rahisi dogo kaza kama una kijihela kidogo uza hata maji ijiongeze kuliko hii ya kusubiri hela za kuchuma kama maembe hazipogi hizi hela.
Naongea na Sharp boys and girls.
You're non from above kalime magimbi
 
Bila kuongeza value kwa mtu mwingine, au kutatua changamoto ya mtu mwingine hutaweza kupata hela

Vinginevyo uka bet
Sasa nani ametaka hela ya bure,nimeuliza watu watupe fursa zilizoko on internet.

Basi hapo unaona umetoa bonge la punchline
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…