Lete mkanda woteYalinikuta kwenye kuomba tangazo flani ajira portal.....
naona raia wakajua ni kuhamia Ile taasisi sijui kumbe ni kuomba nafasi ambayo baadae nitaitwa kwenye interview.🙌
Hapana ipo ivi kama tayar umeshapata kazi ww ni mtumishi wa shirika flani la serikali ila unataka kuhamia taasisi nyingine ya serikali ambayo wametangaza nafasi za kazi kupitia ajiraport unataka kufanya application for interview itabidi barau Yako upitishe kwa boss wako apige sain ili uweze kuattach kwenye application Yako ( kipengele kipo kwa boss wako kuweka saini )Duh mm bado cjaelewa. Yn ukitaka kuomba kazi ajira portal ni lazima barua yako ipigwe saini na mkuu wa hilo shirika unakoomba kazi, mfano unaomba kazi TRA ni lazima mkuu wa TRA atie saini.?
Nakuomba inbox nduguHapana ipo ivi kama tayar umeshapata kazi ww ni mtumishi wa shirika flani la serikali ila unataka kuhamia taasisi nyingine ya serikali ambayo wametangaza nafasi za kazi kupitia ajiraport unataka kufanya application for interview itabidi barau Yako upitishe kwa boss wako apige sain ili uweze kuattach kwenye application Yako ( kipengele kipo kwa boss wako kuweka saini )
Ni sahihi.Hii inatumika kudhibiti watumishi kuhama ovyo na kuiacha taasisi ikiwa na mapungufu, huu udhibiti unewekwa na utumishi purposely
If ni mtumishi wa Government (wizarani halmashauri) na kazi Imetangazwa labda na TCRA TRA au EWURA siku hizi unapewa nafasi ya kuapply ila kuna sharti ambalo ni mtihani barua yako ya kuomba kazi(hasa za transfer)ni lazima aliyekuajiri aweke signature yake akubali uhameDuh mm bado cjaelewa. Yn ukitaka kuomba kazi ajira portal ni lazima barua yako ipigwe saini na mkuu wa hilo shirika unakoomba kazi, mfano unaomba kazi TRA ni lazima mkuu wa TRA atie saini.?
Mabosi hasa wa halmashauri wakuda sana,hawana maagizo,wala shria yoyote basi tu ni kubania watu rizikiJamaa hawataki.
Sijui ni kwa utashi wao au kwa sheria ipi!?
Ofisi zenyewe sio zetu ni za umma watu wanageuza ofisi kama zao.
Pitisheni barua hizo acheni uchoyo nyie mishahara yenu ya LSSE na posho lukuki still bado mnabaniwa wenzenu.
Mfano unakuta Kuna mwalimu ana masters degree anazo sifa za kuwa assistant lecturer still anabaniwa akiomba apitishiwr barua akapambanie hio nafasi.
Ofisi za umma zina ukuda sana hasa ukiwa mnyonge.