charleslee
JF-Expert Member
- Aug 4, 2016
- 408
- 200
Wanaume wa kichina..hawana maamuzi hadi washauriweUnatuuliza tena sie??? Amua mwenyewe!
afadhali ungekuta hajaguswa.. unakuta dem ana kitumbua kina sugu ka nako za mjeda halafu analeta masharti pambaf [emoji36] [emoji36] [emoji36]Kuna dem mmoja mlokole jana kanitext "chapombe mambo" nilimaindiii
Wanawake bwana, we kula gambe mkuu atayekupenda nalo ndio wakuoa huyo..sio mtu anakwambia acha hiki au hiki wakat amekukuta na maisha yako
Dah!!afadhali ungekuta hajaguswa.. unakuta dem ana kitumbua kina sugu ka nako za mjeda halafu analeta masharti pambaf [emoji36] [emoji36] [emoji36]
Upogo mrembo!Yeye ni bora kuliko pombe. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nipogo quigley, mamboUpogo mrembo!
Mambo poa dadangu, tusisahauliane bhanaNipogo quigley, mambo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]afadhali ungekuta hajaguswa.. unakuta dem ana kitumbua kina sugu ka nako za mjeda halafu analeta masharti pambaf [emoji36] [emoji36] [emoji36]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] makapuku mko hukuUnatuuliza tena sie??? Amua mwenyewe!
sasa kama unataka nikubali katiba yako na wewe kubali katiba yangu.. mimi nitaacha fb na pombe, na wewe usisuke unyoe upara, usijirembe usoni na usivae kokoko, uvae sendo tu.Mahusiano ya mwendokasi,...mtu ukimpenda sharti ufuate katiba yake...hahahahaaa nchi huru Mkuu.