Sharti la kwanza jitoe JF na FB

Sharti la kwanza jitoe JF na FB

charleslee

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2016
Posts
408
Reaction score
200
Dadek huyu manzi kanchekesha kumoyo leo, hataki niona nikibang kwa social network kama kweli nataka kuwa nae,anadai fb ni source nzur ya michepuko

bado et niache pombe...niache ciggarates...damn

pombe na yeye kipi bora?
thanks
 
Kuna dem mmoja mlokole jana kanitext "chapombe mambo" nilimaindiii
Wanawake bwana, we kula gambe mkuu atayekupenda nalo ndio wakuoa huyo..sio mtu anakwambia acha hiki au hiki wakat amekukuta na maisha yako
 
afadhali ungekuta hajaguswa.. unakuta dem ana kitumbua kina sugu ka nako za mjeda halafu analeta masharti pambaf [emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
afadhali ungekuta hajaguswa.. unakuta dem ana kitumbua kina sugu ka nako za mjeda halafu analeta masharti pambaf [emoji36] [emoji36] [emoji36]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mahusiano ya mwendokasi,...mtu ukimpenda sharti ufuate katiba yake...hahahahaaa nchi huru Mkuu.
 
Mahusiano ya mwendokasi,...mtu ukimpenda sharti ufuate katiba yake...hahahahaaa nchi huru Mkuu.
sasa kama unataka nikubali katiba yako na wewe kubali katiba yangu.. mimi nitaacha fb na pombe, na wewe usisuke unyoe upara, usijirembe usoni na usivae kokoko, uvae sendo tu.
 
Back
Top Bottom