Shati kubana mwili namna hii ni sahihi?

Shati kubana mwili namna hii ni sahihi?

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
12,001
Reaction score
27,175
Wakuu,

Hivi kuvaa shati la kubana kwa kiasi hiki ni fashion sahihi au linapaswa kubana kiasi gani?

Wataalamu wa fasheni mnasemaje Je inapendeza?

Ahsante.
IMG_20230625_205238.jpg
 
As long as mvaaji yupo comfortable hakuna ubaya wowote.

Ila inakuwa shida pale una kitambi mchomoko halafu unatinga shati ya kimodo, hapo lazima uwe kama pishori la mpunga lilojazwa kupita kipimo.

1687716617433.png

Huyo wa kwenye picha anaesoma habari mwili wake unamruhusu kabisa.
 
As long as mvaaji yupo comfortable hakuna ubaya wowote.

Ila inakuwa shida pale una kitambi mchomoko halafu unatinga shati ya kimodo, hapo lazima uwe kama pishori la mpunga lilojazwa kupita kipimo.

View attachment 2668745

Huyo wa kwenye picha anaesoma habari mwili wake unamruhusu kabisa.
[emoji28][emoji28][emoji28],
Kuwa confortable sio issue,mtu anaweza kuchomekea koti la suti na yeye akawa comfortable kabisa ila ki fasheni akawa hayuko sahihi
 
Hizi ndio style zangu tumbo six pack halafu kifua na mkono kama nimekwenda kwa fundi seremala. Naweka na cologne ile wadada wakinusa kachupi kanaanza kushuka wenyewe.

Ila wale kitambi cha bia msiwe na jealous [emoji1787][emoji1787]
[emoji28]Aisee
 
Back
Top Bottom