Shati kubana mwili namna hii ni sahihi?

As long as mvaaji yupo comfortable hakuna ubaya wowote.

Ila inakuwa shida pale una kitambi mchomoko halafu unatinga shati ya kimodo, hapo lazima uwe kama pishori la mpunga lilojazwa kupita kipimo.

Huyo wa kwenye picha anaesoma habari mwili wake unamruhusu kabisa.
 
[emoji28][emoji28][emoji28],
Kuwa confortable sio issue,mtu anaweza kuchomekea koti la suti na yeye akawa comfortable kabisa ila ki fasheni akawa hayuko sahihi
 
Hizi ndio style zangu tumbo six pack halafu kifua na mkono kama nimekwenda kwa fundi seremala. Naweka na cologne ile wadada wakinusa kachupi kanaanza kushuka wenyewe.

Ila wale kitambi cha bia msiwe na jealous 🤣🤣
 
Hizi ndio style zangu tumbo six pack halafu kifua na mkono kama nimekwenda kwa fundi seremala. Naweka na cologne ile wadada wakinusa kachupi kanaanza kushuka wenyewe.

Ila wale kitambi cha bia msiwe na jealous [emoji1787][emoji1787]
[emoji28]Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…