GE2025 Shauri la Kikatiba la Luhaga Mpina dhidi ya INEC kuendelea leo Oktoba 6, 2025

GE2025 Shauri la Kikatiba la Luhaga Mpina dhidi ya INEC kuendelea leo Oktoba 6, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma, leo Oktoba 6, 2025, itasikiliza shauri la kikatiba lililofunguliwa dhidi ya Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupinga Luhaga Mpina kuondolewa kugombea Urais wa Tanzania. Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa mbele ya majaji watatu kuanzia saa 8 mchana.

Mpina.jpg
 
Back
Top Bottom