GE2025 Shauri la Lissu kupinga mashahidi wa Jamhuri kufichwa kutolewa Agosti 12,2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa nn ushahidi uwe wa Siri?
Sababu kuna shahidi anajiita Jasusi wa vitabu eti kwa uzoefu wake na taaluma kilichofanyika ni ushahidi tosha kuwa kile kitendo ni uhaini na ameambatanisha machapisho kadhaa wa kadha
 
Kesi imeishaje?
 
"KUFICHA MASHAHIDI" Jamani huu si uhuni wa mchana kabisa... Hivi serikali sikivu inaweza kuja na gia hii kweli

..shahidi anayetaka kufichwa ni Mafwele, anaogopa kuhojiwa na Mawakili wa utetezi.

.
 
..shahidi anayetaka kufichwa ni Mafwele, anaogopa kuhojiwa na Mawakili wa utetezi.

.
Hawa jamaa wanaendesha nchi kama watatawala milele. Kweli kwenye serious case wanataka ushahidi upitishwe bila kuhojiwa? Wanajua implications zake na precedence inaenda kutengenezwa? Mahakama itakuwa kijiwe cha umbea. Nimesoma hizo kanuni, kuna kipande kinasema sauti na video zinaweza kuwa distorted! Na zimesainiwa na Jaji Mkuu

Naona pia wamejifunza kwenye kesi ya Mbowe, walivuliwa nguo sana
 

..labda kwa kesi za organized crimes kama za madawa ya kulevya.

..lakini mahakama isiruhusu jambo hilo kirahisirahi na kupelekea utaratibu huo kutumika vibaya.

..ninachoona ni jaribio la DPP kutumia kifungo hicho vibaya kinyume na malengo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…