Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Rejea thread hii kwanza:
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma yawasilisha malalamiko kuhusu Prof. Eliamini M. Sedoyeka
Pia soma majibu ya Prof. Sedoyeka hapa:
Majibu ya Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamini Sedoyeka mbele ya Baraza la Maadili
Nina uzoefu wa masuala ya figusu za maofsini. Nawashauri yeyote aliye na mamlaka na anayeitumia Sekretariati ya Maadili kwa ajili ya manufaa yake afanye ifuatavyo ili asiingize Serikali kwenye migogoro ya kupoteza kesi na kulipa mamilioni ya fidia huko mbeleni.
Hakuna issue yeyote ambayo Profesa Sedoyeka anaweza kupoteza kazi. Kama hawamtaki natoa njia 2 tu:-
1) Wamatafutie kazi nyingine kupitia Mamlaka yake ya uteuzi
2) Kwa kuwa Rector/ Principal wa IAA ni kazi ya mkataba, wamvumilie tu mpaka mkataba wake uishe, halafu wasi RENEW
NB: Mchakato wote wa kumpeleka kwenye Sekretariati ya Maadili ni kinyume na Sheria ya Utumishi wa Umma Namba 8 ya mwaka 2002 na Kanuni zake za 2003.
Maamuzi yeyote dhidi ya Profesa Sedoyeka kwa hizo tuhuma FEKI, ni kumuandalia fidia tu kwenye Mahakama.
Najua humu kuna wanafunzi na wafanyakazi wa IAA, naomba hii POST yangu muiweke AKIBA. Iko siku mtairejea.