Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Let me tell you Brother, wanasiasa wana upuuzi mwingi, huwa wanataka kila mkuu wa taasisi wampande kichwani na aruhusu upigaji so wanapomkuta mtu amesimama kwenye kufuata kanuni na kutokubali njia ya upigaji kupitia taasisi hizo ndipo mzozo huanza.Acha kushauri mambo usiyoyajua hawa maprofesa ni wapumbavu sana wengi ni wakabila, Malaya, wezi wenye tamaa, wabaguzi sana na wapenda sifa. Kuna taasisi ipo wizara ya fedha niliwahi kuhudhuria kikao kazi kimoja katika utambulisho nikasikia kuna mtu cheo chake ni Msaidizi wa mtendaji Mkuu ikabidi nimuulize Moja ya wakurugenzi akasema huyo mtendaji Mkuu ndio kateua msaidizi kijana wa kiume huku yeye akiwa professor kijana mwanamke. Tulipofuatilia yule kijana ni mtu wa masijala tena very Junior kiasi kwamba hawezi hata kupaswa kumsogelea huyo bosi wake. Kuna ukiukwaji mkubwa sana WA sheria kwa hawa wanaojiita maprofesa kwenye taasisi za umma. Hasa taasisi zilipo chini ya wizara ya fedha
Am sure professor Sedoyeka kuna mahala amegoma taasisi yake kutumika kama kichaka cha upigaji.
Kuna Rafiki yangu alikuwa taasisi fulani inajihusisha na mambo ya nishati, basi waziri mwenye Dhamana akataka apitishe wizi wake pale DG akagoma kwamba huo sio utaratibu na akakomaa na taratibu. The next few days jamaa alitenguliwa uteuzi, lkn Mungu si Athuman yule waziri nae alihanishwa ile wizara lkn baadae alipigwa chini kbs na sasa amebaki kama Mbunge tu. Karma is a bitch.
Prof. Sedoyeka atayashinda haya mapito,