Shauri la Sekretariati ya Maadili vs Prof. Sedoyeka wa IAA: Natoa Ushauri wa Bure

Kilichonishangaza ni jinsi matangazo yalivyorushwa Kila mahali, aise hata kama mtu humpendi ndiyo umfanyie character assassination ya kiasi kile?
 
Uvunjifu wa maadili ya kazi yameshika Kasi Sana miongoni mwa Watawala kiasi imefikia hatua kwamba inaonekana ni kitu cha kawaida kabisa katika jamii.
Hii ni ya kweli, lakini kwanini cases zinakuwa selected na siyo ku deal na wote ambao Wana portrait hizo tabia?
 
Uhamisho wa wafanyakazi ndani ya Serikali unasimamiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wala siyo Taasisi/ Wizara zingine.

Bado siyo kosa la kimaadili
 
Chuo kidogo sana hicho,sasa UDOM na UDSM wasemeje,??acheni kutetea matumizi mabaya ya ofisi,apambane na haki yake
 
Wewe ndiyo mpumbavu mkubwa
Huyo mjinga wako mmoja uliyemuona unafikir wote wapo kama wewe na yeye
Acha ku generalize watu punguani wewe
Kama ndiyo tabia yako kufanya umalaya wizi usifikir kila mtu anafanya hivo ngiri wewe
 

Attachments

  • downloadfile-2.jpg
    53.9 KB · Views: 3
Wewe ndiye mpumbavu. Soma kwanza tuhuma za Profesa Sedoyeka halafu njoo ulnganishe na ulichoandika hapo kwenye post yako. Halafu nyie la 7 B haya mambo hamna uwezo ww kuyajadili!! Viachieni vichwa tu ndiyo vipambane
Sasa unalialia nini hapa jukwaani nenda kajibu mashitaka na professor wako wa mchongo huyo. Tangu lini mkawa na akili nyie washenzi wakubwa. Mkajibu mashitaka huko kwanza
 
Sasa unalialia nini hapa jukwaani nenda kajibu mashitaka na professor wako wa mchongo huyo. Tangu lini mkawa na akili nyie washenzi wakubwa. Mkajibu mashitaka huko kwanza
Mithali 26:4 Usimjibu mpumbavu sawa na upumbavu wake usije kuwa sawa na yeye.
 
Mwambie huyo mtoa mada maana anamlinda mno huyo prof...yule kijana aliemtoa manunuzi kwenda kuwa mkagua wanafunzi library amemuonea sana ...nahisi kina Dili alitaka kulicheza sasa dogo akalizuia...ikabidi atupwe library..sawa anaruhusiwa na sheria lakini it is not fair at all
 

Umeandika mambo mengi, lkn kwa ujumla. Be specific to the subject individual rector of IAA.
 
Uhamisho wa wafanyakazi ndani ya Serikali unasimamiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wala siyo Taasisi/ Wizara zingine.

Bado siyo kosa la kimaadili
Ndio inabidi uchunguzi wa kina ufanyike kuhusu kuhamishwa huyo mtumishi kila bosi wake huyo anapohamishiwa .
Mkuu hicho sio kitu cha kawaida wala sikubali ni just a coincedence .
Kuna kitu kimejificha .
Kumbuka kuna sehemu nimesoma kwamba kuna barua iliandikwa kumuomba .
Kuna kitu hawakiwekwi wazi kati ya huyo bwana hr na prof isije ikawa wanasaga mahindi pamoja. maadili sio kuhusu hela tu
 
Na sasa ujenzi wa hostels kubwa kubwa unaendelea pale Main Campus Arusha. Hiking nacho lazima kiwe kiini cha mgogoro na watesi wake manake tunaambiwa Profesa Sadoyeka aliamua kujenga hostels hizo kupitia force account ili kupunguza gharama za ujenzi.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ . Forced account ni kitu gani?
 
Sasa unalialia nini hapa jukwaani nenda kajibu mashitaka na professor wako wa mchongo huyo. Tangu lini mkawa na akili nyie washenzi wakubwa. Mkajibu mashitaka huko kwkwanza
Ajabu ya Tanzania mbumbumbu kama wewe unatukana Professa na kumuita wa mchongo. Utakuta hata D 2 za NECTA huna
 
Library kuna inventory ya vitabu. Professionals wa CSP wanasoma procurement and supply kama somo. Sawa na CPA wanasoma Accounting and Auditing. Hivyo mtu mwenye CPA anaweza fanya kazi audit au accounts. Likewise CSP anweza fanya procurement au supplies (warehouse, inventory, transportation)
 
Mambo yote ya uhamisho yako kwenye job description ya Mkuu wa Chuo. Hakuna kitu alicho fanya ultra vires
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…