She is here now, I need her back

kuwasiliana na mtu is just mawasilianoo sio wote unaowasiliana nao bas ni wapenz wakoooo

Lakin kaa ukijua siku akiamua kukudelete ktk maisha yake hata hyo simu yako utakayo mpigia hatathubutu kuipokea. Na hapo ndipo utakapopata maumivu zaid ya yale ya awali.
 

aiseee! uran bado unapendwa!
Ni hayo tu!
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh.......hii mbona kama hadithi vile?
 
This story should have a happy ending. Rudianeni
 

sicy nikwambie kitu kama humuitaji bora mkaachana for good coz unavoendelea kuwasiliana nae unazidi kumpa wakati mgumu uran, kwa sababu anakupenda sana, he wont let it go while anasikia sauti yako everytime, mark my word my dia i assure u,, let him be pleas!!!
 

haaah.
what is this now? wakuu, can you see what is girl saying..
Nimepata message whatapp
" umedelete my namba haya bhana".
nadhani hii inatokana na maamuzi yangu niliyoyafanya jana.

pia naomba niwajibu wale wote waliokuwa na daught over our ages..
inshort sisi sio watoto wadogo hata kidogo
moreen is a big girl na kazi yake tu.
then mimi pia nimeanza kujitegemea muda mrefu sasa, handling my child on my own.
So maandishi au point za hapa zisiwape wrong definition about how old are we..

Tukirudi kwenye hayo maneno nikiyoquote hapo juu.
sijui hili mnalionaje wakuu.
Its like she didnt accept my action of letting her Go.
Naona hata nyie mnaona.
cc; sungura1980 amu, xfactor, Kaunga, Rich Pol EMT mwallu, Bantu lady miss neddy Chelea, anitha baby, Heaven on Earth, Kaizer Phenomenon Lady kidaganda, LifeHacker, Mwadunda, Dillish wa kwetu BADILI TABIA Rogie, Kilaza kichunafk gize Rapunzel wangewange, Tangopori Khantwe LORDVILLE Ukwaju kamusi(shukrani kwa mchango wako hapo juu..).

na wengine ambao sijawataja.
angalieni maamuzi ya moreen
 
Last edited by a moderator:

na ni kwanini aseme anytime anayotaka yeye atanipata? this is unaccepted
 
Kijana wangu haina maana kwamba anataka mrudiane...muhimu ss ivi kila mtu aheshimu maamuzi ya mwenzake baaas. Hiyo msg isikuchanganye endelea na mambo yako kama kawaida
 

Huyo kaka Uran bado anakupenda na hatokusahau kama alivyosema na ipo siku atakutafuta na kukuomba msamaha kwa majibu aliyoyajibu humu "eti umedelete my number haya bhana" ya kiunyongee msg yako hahahah kiroho kinakuumia nini sasa kama humtaki?
Kaka Uran imechukua maamuzi sahihi big up !
 
Last edited by a moderator:
Mkuu uran mimi nakushauri hivi,kwa jinsi hali inavyoonekana suala hili mna uwezo wa kulitatua offline na kufikia muafaka. If hii ingekuwa kwangu nishakula flight na hii long weekend kwenda kuzungumza ana kwa ana kujua mustakabali wa uhusiano huu.
 
Last edited by a moderator:
Kijana wangu haina maana kwamba anataka mrudiane...muhimu ss ivi kila mtu aheshimu maamuzi ya mwenzake baaas. Hiyo msg isikuchanganye endelea na mambo yako kama kawaida

nimekupata kaka..
 
Mkuu uran mimi nakushauri hivi,kwa jinsi hali inavyoonekana suala hili mna uwezo wa kulitatua offline na kufikia muafaka. If hii ingekuwa kwangu nishakula flight na hii long weekend kwenda kuzungumza ana kwa ana kujua mustakabali wa uhusiano huu.

rogie.
nshafanya hivi three years ago, but nothing was made.
 
Last edited by a moderator:
na ni kwanini aseme anytime anayotaka yeye atanipata? this is unaccepted

Be a man bro,.. Stand up 4 yourself, u've to do what's right 4 u kuendelea kuwasiliana nae akuumize zaidi or to let her go, hv nikuulize kitu mkuu mkiendelea na urafiki and then at the end akakuinvite kwenye harusi yake utajiskiaje. Move on man!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…