She is here now, I need her back

She is here now, I need her back

kujishaua tuu huko. .hujawahi kupenda wewe. ushakamatwa na mujanja ya mujini ..Huyu old school wapi na wapi! and seems yo'using that excuse as a weapon to make him feel bad. but trust me. .u l remember something about him n it gonna be too late honey

Alafu punguza kuadimika best
 
salamu zimefika bestito
ni kweli huwezi kumlazimisha mtu akupende utaona vitendo kwake kuwa anakupenda au hakupendi hivyo kuwa makini katika suala la upendo, si kila mtu uliyekuwa naye au uliyesoma naye akawa rafiki unaanza kujengo sura ya kuwa naye wakati yeye hata lepe au tone la kuwa nawe hayuko kwako kabisa kwani utakuwa unajisumbua na kujichosha bora uanze mbele kimpango wako na Mungu atakupa yule aliyewako si kwa macho ya nyama bali ya rohoni
thanks my dear kwa kunikaribisha na kunisalimia
Oh my dear. Samahani lakini nikwambie ukweli unakera. Sijui una umri gani, but you sounds insecure and in need a lot of love. Kwa kweli kwa hili hata Kaunga hawezi kukushauri ufanye maombi na meditation.

Seriously, huwezi kumtaka mwanamke akutamkie kuwa anakupenda au hakupendi. Kama kweli anakupenda lazima atakuambia bila ya wewe kumlazimisha. Kama hakupendi siyo lazima akuambie hakupendi kwa sababu lazima utajua tuu from her own actions toward you.

After all, she is not the only woman on earth. Stop being clingy. Clingy is very irritating. Let it go. Move on with your own life. You have got your own life, so focus on your life. Your child should be the most important person to you na siyo mwanamke uliyekutana nae enzi hizo mkiwa shuleni.

Tafuta thread ya Husninyo ya watu wasiobabanishwa na mahusiano soma baadhi ya mchango ya watu. May be you will learn something. Unaonekana kama hauko confident in yourself. Kama ungekuwa confident in yourself, usingekuwa obsessive na moreen baby.

Hata Kongosho, our expert of reading between the legs, atakuambia kuwa "Mtu anayejiamini anavutia zaidi kuliko fuata upepo."

The fact kuwa unampenda mtu does not necessarily mean that she must be with you.
You can still survive bila kuwa nae. Yes, you can. Tena utakuwa huru zaidi na independent. Pursue your own interests. Take care of your kid. Take him/her to places.

Instead of chasing
moreen baby let her come to you if she wants. If she doesn't want, then don't force her. Usimbane koo. Give her some breathing space please!

And respect her as a person and what she says. Hapo lazima atakuheshimu na wewe.



I hope atakuwa amekusoma na kukuelewa. Tena akiendelea kukusumbua kwa njia yoyote ile, that can be regarded as harassment na unaweza kumripoti kwenye mamlaka husika ili wamshughulikie.

I like it when you said you can still be good friends. It is a good sign kuwa huna ubaya wowote nae. Anatakiwa aelewe hili and take it it on his chin and move on..

Baada ya hapo ndugu mtangazaji naomba kutuma salamu zangu za dhati kupitia redio yako kwenda kwa snowhite, Kongosho, bila kuwasahau ladyfurahia, Kaunga na miss chagga popote pale walipo.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Wow... Kakujibu sasa kaoe mama mtoto.

Ndio mjue hasira za kulala ovyo zinaharibu kabisa bora ungejinywea pombe na kulewa siku hiyo.

Pole zako kijana, lea mtoto wako na mama yake.
 
Umepotea sana hadi inauma, tangia unipindue The Boss baada ya kukuomba umsindikize mahali, huniangalii hata machoni.
Nitakusemea kwa Fixed Point

hujui tu navokukotha!
pls hebunisikie mbesi wako.ukiona kimya hivi ujue kuna jambo! The Boss nae ni wa kufanya nikusambu?
mi ahadi za kupelekwa mahali naweza kuzihold miaka 3,akuuu!
kwa kuzugia sawa ila kukupindua jumla jumla nehiiiiiiii!
mnawezna wenyewe!lll
 
Last edited by a moderator:
nmeona thread imeisha nam namalizia hapa nimewaelewa wote sasa na swali kwa wote waliochangia humu je ni nani alaumiweeee kati yetuu:nod:
 
asante mkuu, niliamua kufanya hivi baada ya kutoeleweka kabisa huko underground, na mizinguo kibao.
mara ya kwanza mi nilijua nazinguliwa tu..nilivyoanza kulichukulia serious ndiyo nikajua moreen kaamua kukaza.
by the way.
jana ndiyo ilikuwa last time ya kufanya maamuzi.
nshaamua sasa. yeye na maisha yake na mimi kivyangu.

even though simwombei mabaya hata kidogo..

akianza kukusumbua rejesha feedback hapa
 
nmeona thread imeisha nam namalizia hapa nimewaelewa wote sasa na swali kwa wote waliochangia humu je ni nani alaumiweeee kati yetuu:nod:


hakuna wa kulaumiwa, kijana amekosea na kakuomba msamaha sana hadi mbele ya pubic na wewe umekataa, basi duniani hakuna mkamilifu na mtu muungwana ni yule aliyekiri makosa yake na kujirekebisha..

Ila wewe ndio umeonekana kituko kwa kumkatalia mwenzio msamaha ili hali ameonyesha mapenzi ya kweli..na si hivyo tu, bali umeonyesha na dharau pia..labda ni huo umaarufu wako ndio unakupa jeuri..Mtafute huyo wa kwako asiyekosea na aliyekamilika kila kitu, UKIMPATA uje utujulishe na sisi hapa jf....

Na mimi naungana na wenzangu humu kukwambia kwamba huyu kijana UTAMKUMBUKA!!!!!! I tell you UTAMKUMBUKA!!!!! hata kama si leo basi miaka ijayo..na wakati huo itakuwa too late..
 
afu nikwambie kitu Uran, ukiweza fanya haya ili umsahau huyu dada kirahisi
1. Delete namba yake/zake ya simu kwenye simu zako zote
2. Delete message zote mlizowahi kutumiana kama unazo
2. Ukiweza badili namba ya simu kabisa
4. Futa mails zote mlizotumiana, delete kila kitu ..ukiweza anzisha mail mpya..
5. Kama una picha zake tia kiberiti, futa na ondoa kumbukumbu yeyote inayomuhusu machoni pako.
6. Kama kuna zawadi aliokununulia ambayo itakukumbushia, itupe au mpe mtu
7. Usikae sana bila kuwa na mwanamke mwingine mana muda mwingi utakuwa unamkumbuka..japo usitafute mwanamke mwingine kwa papara usije ukaangukia pua tena..
8. Weka nguvu kubwa kwenye maisha yako na mtoto wako..i mean tafuta pesa, anza ujenzi, nunua usafiri, ..etc..ilimradi kuwa bize na masiha yako.
9. Ukiweza kusoma rudi tena chuo ongeza elimu, km masters, phd etc, ilimradi uwe na cha kukushghulisha..
10. Mwisho kabisa kama huyu mwanamke akijirudi ndani ya miezi 6 ivi au mwaka mmoja kuanzia sasa msamehe ikiwa hauko ktk relation nyingine, ikipita mwaka hata akirudi usimsamehe..put off moja kwa moja..hapo atakuwa keshatibuliwa huko anataka aje kujiliwaza kwako..piga chini
mwisho nakutakia kila la heri
 
kudelete my namba ni kitu kidogo bt ataifuta kwenye cm lkn kichwani anayo na m nshamsamehe sina ugomvi nae wala nini namuheshimu ananiheshimu hata nikikutana nae siwez kumpita ntamsalimu na tutapeana challenge za maisha kama zamani tulivyokuwwa marafiki kipindi bado hajanitokea nakuheshimu sana kaka urani maisha yanabadilika.kufuta namba yangu au kupoteza kumbukumbu yoyote kuhusu mimi ni kazi bure kwasababu nauwezo wa kuonana nawewe napohitaji na isitoshe kutengana kwetu siyo mwisho wa maisha ya urafiki kati yetu so namba zako urani ninazo na ntakutafuta pindii ntapohitaji msaada kutoka kwako kama zamani au ushauri wowote ule ..ni mwanaume wa kwanza siwezi kukusahau hata kama ukijifanya ww umenisahau mimi mimi ntakukumbuka kwa sababu wewe ulinipeleka ulimwengu wa ukubwa ni hayo tu bby
 
kudelete my namba ni kitu kidogo bt ataifuta kwenye cm lkn kichwani anayo na m nshamsamehe sina ugomvi nae wala nini namuheshimu ananiheshimu hata nikikutana nae siwez kumpita ntamsalimu na tutapeana challenge za maisha kama zamani tulivyokuwwa marafiki kipindi bado hajanitokea nakuheshimu sana kaka urani maisha yanabadilika.kufuta namba yangu au kupoteza kumbukumbu yoyote kuhusu mimi ni kazi bure kwasababu nauwezo wa kuonana nawewe napohitaji na isitoshe kutengana kwetu siyo mwisho wa maisha ya urafiki kati yetu so namba zako urani ninazo na ntakutafuta pindii ntapohitaji msaada kutoka kwako kama zamani au ushauri wowote ule ..ni mwanaume wa kwanza siwezi kukusahau hata kama ukijifanya ww umenisahau mimi mimi ntakukumbuka kwa sababu wewe ulinipeleka ulimwengu wa ukubwa ni hayo tu wanguuu nakutakia maisha marefu]
 
Nilichogundua ni kwamba bado mna umri mdogo.


||"You were too young to understand"||
 
Kwa maelezo yako ya mwisho Maureen inaonekana bado unampenda Uran. Mbona kama unalazmisha kuendelea kuwasiliana nae kama humtaki?
 
Kwa maelezo yako ya mwisho Maureen inaonekana bado unampenda Uran. Mbona kama unalazmisha kuendelea kuwasiliana nae kama humtaki?

kuwasiliana na mtu is just mawasilianoo sio wote unaowasiliana nao bas ni wapenz wakoooo
 
Back
Top Bottom