Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Hahahaa. Hawa marafiki wa kike mara mwisho kuonana nao ilikuwa tulipoagana asubuhi wao wakielekea shopping, sie tikielekea kibandaumiza tayari kucheki ngoma ya Man City na Southampton.
Mpaka usiku ndo tumemaliza kuangalia mechi ya Chelsea na Stoke, so tumeptia hapa kona bar kupata moja baridi kabla ya kuelekea kunako.
Sasa ukiangalia hapo washkaji siwezi watumia salamu as nilikuwa nao tokea moning kama unavyowaona akina Ntuzu, Katavi, Mentor, Mbu na wengine hapo kwenye picha tuliyotuma twita.
![]()
Teh Teh Teh Teh
Mkuu safi sn!
Last edited by a moderator: