She is here now, I need her back

She is here now, I need her back

Pole sana ndugu yangu uran hakika umejitoa na umesimama mbele ya halaiki kuonyesha how much you need her in your life! Hakika wana JF wamemuomba ya kutosha lakini inaelekea Ana mipango yako, nakushauri mpe uhuru aendelee na maisha yake, Nina hakika soon atakutafuta baada ya kuumizwa trust me! Hakika amekuumiza kwa Kuwa una true love kwake na hataki kuelewa. Pole sana brother lakini maisha lazima yaendelee.
 
Last edited by a moderator:
kwa kuwa tayari una mtoto na kwa kuwa hutaki kumuoa uliyemzalisha nashauri usioe kabisa.
 
He he he, kwenye cheating management, ukipiga kibuti unadisco.
Mzima mamii, miss u a lot.

Ahahahahhahah mekumithi mpk macho yanawasha!
Niko pooooooooa ila sijala firigisi Leo!
Any idea so far?
 
Pole sana ndugu yangu uran hakika umejitoa na umesimama mbele ya halaiki kuonyesha how much you need her in your life! Hakika wana JF wamemuomba ya kutosha lakini inaelekea Ana mipango yako, nakushauri mpe uhuru aendelee na maisha yake, Nina hakika soon atakutafuta baada ya kuumizwa trust me! Hakika amekuumiza kwa Kuwa una true love kwake na hataki kuelewa. Pole sana brother lakini maisha lazima yaendelee.

asante mkuu, niliamua kufanya hivi baada ya kutoeleweka kabisa huko underground, na mizinguo kibao.
mara ya kwanza mi nilijua nazinguliwa tu..nilivyoanza kulichukulia serious ndiyo nikajua moreen kaamua kukaza.
by the way.
jana ndiyo ilikuwa last time ya kufanya maamuzi.
nshaamua sasa. yeye na maisha yake na mimi kivyangu.

even though simwombei mabaya hata kidogo..
 
Huo ndo msimamo uran, hongera kwa hilo
 
asante mkuu, niliamua kufanya hivi baada ya kutoeleweka kabisa huko underground, na mizinguo kibao.
mara ya kwanza mi nilijua nazinguliwa tu..nilivyoanza kulichukulia serious ndiyo nikajua moreen kaamua kukaza.
by the way.
jana ndiyo ilikuwa last time ya kufanya maamuzi. nshaamua sasa. yeye na maisha yake na mimi kivyangu.

even though simwombei mabaya hata kidogo..
Safi sana huo ndio uamuzi wa kiume kwani dunia ni Duara
Watu hawajaanz leo na wewe na moreen baby sio wa kwanza kuachana
MUNGU atawajalia kila mmoja atakuwa na wake wa maisha

km ni kweli wekeni nukta zaidi ya hapo ni kujichora humu Jukwaani
 
Last edited by a moderator:
pole uran cku zote ucfanye maamuz ukiwa na hasira utapata hasara. lkn ni vyema umetambua kosa na ukisamehewa isirudie. by the way moreen baby bora adui unaemjua kuliko ucyemfaham na ni wachache wanaotambua makosa yao na kuomba msamaha had huku public coz wanaume wa cku hiz anafanya yeye kosa af msamaha unaomba wewe.
 
Last edited by a moderator:
asante mkuu, niliamua kufanya hivi baada ya kutoeleweka kabisa huko underground, na mizinguo kibao.
mara ya kwanza mi nilijua nazinguliwa tu..nilivyoanza kulichukulia serious ndiyo nikajua moreen kaamua kukaza.
by the way.
jana ndiyo ilikuwa last time ya kufanya maamuzi.
nshaamua sasa. yeye na maisha yake na mimi kivyangu.

even though simwombei mabaya hata kidogo..

Safi sana mkuu! Hatimuombei mabaya mtu, ila binaadamu tunaishi kwa kujifunza! Mifano iko mingi hapa mjini ukiacha duniani pote, ndiyo maana wahenga walisema MKATAA PEMA PABAYA PANAMUITA.
All the best mkuu.
 
Wanaume bwana waache tu walivyo.

haya unalalamika umeakataliwa na moureen baby sio, naomba ujiulize maswali yafuatayo wewe uran.

1. Hivi huyo dada uliyemzalisha hafu ukamkataa angali bado anakupenda, ni maumivu gani aliyoyapata ulipomkataa? Pengine ni makubwa zaidi ya hayo unayoyapata wewe kwa sasa.

2. Wanawake hawana haki ya kupenda na wao, i mean kwanini umng'ang'anize moureen akupende wakati ye tayari ana mtu anampenda na amfeel kwa sasa na si wewe?

3. Kwa muda ambao hamkuwa mnawasiliana kimahaba kila mmoja alitafuta pa kujiattach na kwa kuwa kwako mambo wewe hayajakuendea vizuri huko ulikoenda, mwenzio mambo yamemwendea vizuri na anaona poa hapo alipo, kwanini umlazimishe moureen ajibandue anakoona kuna mfaa?
4.Hivi kwanini unamnyima mtoto haki ya kulelewa na wazazi wake wote wawili ilihali mamake bado anakupenda ila tu we ndo unamkataa? Kwa nini ung'ang'ane na mtu asiyekutaka.
5. Kwa wana Jf, wengi mnatupia lawama maurine kwa kutosamehe sio, mnajuaje kama aliyenaye kwa sasa anampenda zaidi?
 
Back
Top Bottom