Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
We njoo tu utaelewa hukuhuku!
hahahahaha sawa jiandae kunipokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We njoo tu utaelewa hukuhuku!
why are u mention me in post hidden
post ilikuwa inahusu nini na iko wapi
tuanzie hapo
mhhhhhhhhhhHapo kesi ya mamod ss sijui kama nilitukana wakaifuta au la?😱😕
uran, seriously kabisa unasubiri jibu la yes au no ndio uweze kufanya maamuzi.
Move on....unaanza kuboa kumng'ang'ania mwanamke
||"you were too young to understand"||
umekuja huku saa ngapi lol
hahahahaha sawa jiandae kunipokea
Hahaha muda uliokuja ww
||"You were too young to understand"||
Ole wako usije!
hata mie ameniboa bhana, mwanaume analilia kama nini. Unalia kiume bhana. Hebu tusepe hapa Rogie maana....
nisipokuja ----------
Hahahahahah kwel life sucks.... Kuna wadada wengine wako desperate kutafuta their life partner's akat wengine wanawakataa kwa jeuri......kiruuu.....
cc honeyfaith
Lets go back.........
Aagh tukafanye yetu tu Kichuna wangu. At first ilikuwa sawa kabla bidada hajaweka msimamo wake. Mbaya zaidi dada anaandika na kuweka maneno as anacheka kabisaa huko alipo..shit. Then brother anauliza "do you love me?"
||"You were too young to understand"||