She is here now, I need her back

She is here now, I need her back

Hahahahahah.... Acha... Ila cdhan ka na possess any ov hzo character ulizoztaja....

Hahahahahaaa labda tuanze kwa kujua mtazamo wako juu ya hili sakata la wajina wako na mleta uzi,then ndio nitajua kama una possess hizo character au lah.Wewe unaona wajina wako yupo sahihi?
 
Ka nilivosema hajakuwa, kama amekuwa bas hajui kuangalia the other side ya life.....
Ki ukwel in her defense I see weak arguments, so I do knw anayachukuliaje maisha.....
 
*dont know.
 
ha ha ha mkuu sidhani kama itakuwa vizuri kuweka umri wangu hapa.
unaweza kukadiria lakini, then sisi sio watoto mkuu, i completed my A level studies in 2007.
at that time moreen ndiyo amehitimu kidato cha nne.
kila mtu anamaisha yake sasa!!

Hata hivyo A level 2007 bado wadogo mkuu,nilikuwa nakushangaa unavyoshindwa kutoa maamuzi nikawa na wasiwasi na umri wako!!Achana naye bwana uran,atakusumbua huyo mi nakwambia!Si unamuona anavyojibu?Read between lines!Yako maisha bila huyo #Moreen wako!
 
Last edited by a moderator:
Ka nilivosema hajakuwa, kama amekuwa bas hajui kuangalia the other side ya life.....
Ki ukwel in her defense I see weak arguments, so I do knw anayachukuliaje maisha.....

She is a super star now,just to add to the results of my research.So lazima azidi kuona kuwa anauwezo wa kupata bora zaidi

With that regard I think I need to extend time for my research,maana wewe umekuwa the only element ya sample yangu ambayo imeleta majibu tofauti.Wengine wote including Moreen huyu wameonyesha results sawa.

Vipi kuhusu swala la kuwa wakina Moreen wengi ni warembo? U dnt possess that too?
 
Mmhhhh...... It depends.... Na yo definiton ya urembo.....
 
You are right but there is a universal agreement kwa maana ya kwamba Kuna wadada ambao hakuna mwanaume atasema kuwa si mrembo. Natamani nikuone ili nifanikishe research yangu,japo sijawahi kuona Moreen ambaye si mrembo toka niletwe duniani.Hata watoto wadogo wenye majina hayo they are all cute babies
 
Kweli usemayo... Wengi wao wanakuwaga na this unique character ambazo once akikutajia jina lake utamuona wa tofaut,
asa cjui, z t bcoz jina lenyew sio common kiviile au....
 
It's a nice name kiukweli,ukilitamka u feel like u already know her,it has a sense of innocence fulani.Maana ya hili jina ni "star of the sea" so it tells it all.
 
Mara nyingi nkimtajia mtu jina langu lazima aniulize mara mbili mbili....
Akat nakuwa nlikuwa nalichukia sana coz watu walikuwa wanalifupsha na kuwa "mau" asa instead of kuniita mau othrz used to call me "nyau"... Nlikuwa had nalia....
Atleast siku hz kina maureen wamekuwa weng.....
Had wengine like you mmeamua kulifanyia research......🙂:what:
 
Hahahahahaaaa majanga tu kama ya mkuu hapa ndio yanapelekea yote hayo mpaka research,"in the name of love".She used to hate the name too kama wewe but I used to wonder caz to me that is the best name ever,from the way it is written to how it is pronounced
 
In her memory itabd umpe binti yako that name......
 
Heheheee I sometimes have that thought,but it's not fair kwa huyo mke mtarajiwa Mungu atakayekuja kunipa.Kuna uzi humu unazungumzia swala la mume au mke kumpa mtoto jina la x wake,wewe utakubali nikuoe halafu mtoto nimpe jina la x wangu?
 
Labda nisijue....lol itaumaa....
Ila I have this friend of myn babake alimname aftr his first love....mkewe hakujua alipokuja kujua ilikuwa utata ingawaje jina anaendelea kulitumia had leo....
 
Sio busara hata kidogo,hakuna atakaye furahia,hata mimi pia sitopenda nifanyiwe hivyo.Hata kama hatojua kiungwana huwezi fanya hvyo,past should alwys be a history.Mtu anaweza kumchukia mtoto kirahisi tu kwasababu ndogo kama hiyo.

Endelea kuwa Maureen mzuri,ngoja nifanye mabadiliko ya tafiti yangu,pengine naweza kupata wakina Maureen wengine watatu ambao wapo kama wewe
 
Kwa kwel rudia utafit au endelea na utafiti....... Si unajua sio lazma respondents wote wawe sawa..
 
Back
Top Bottom