Muulize apenda wanaume wa aina gani?
Maana kama yeye ni type ya wadada wa mjini alafu sharobaro wa kike, alafu anavutiwa na mwanaume ambae ni mlokole, asitegemee atampata... atatongozwa na wanaume wanavutiwa na muonekano wake hali yeye hawapendi hivo kuwakataa na hivo kupleleka yeye kua lonely.....
Muulize yeye ni dada wa aina gani?
Kwamba anajionesha vipi kwa watu tokana na matendo... Je ni mtokaji saana as in mtu wa kujirusha saana kila club hakosi? mara nyingi binti ambae huenda kila club ya mjini ina maana wanaume woote ambao anakuta nao ni wa by nite. Take note hao wanaume hutaka galfriends wa show off wa by nite, na galfriends serious wale ambao sio wa by nite. Hive atakua anaishia kutongozwa na kulala na wanaume ambae wengi husepa baada ya mda mfupi.
Muulize yeye hapo nyumbani ni makazi kazaliwa na kukulia hapo?
Kama YES.... na ikatokea alianza ukicheche na uhuni at the age of 15, Just imagine at age 26 kalala na wangapi na woote hao mtaaani wawafahamu wanaume most walopita hapo. At that age ni wanaume wachache hujilipua kua na a serious relationship with yoou sababu ajua kua wataka mtu wa kukuoa.... na tayari wanaona kama hufai....
Muulize anajitambua na kujua nini hasa anataka?
Does she know her worth? Does she know kua anaheshimika ama lah katika ulimwengu wa wanaume (hii aweza pima kwa the type ya wanaume ambao wanamtongoza... i.e wapiga debe, wanafunzi, waume za watu, vijana.... n.k) Akijijua na kujua the type of men she wants.... then nirahisi kuappreciate a man ambae ni worth it akija katika maisha yake... instead ya kuleta pose za kitoto kana kwamba hana mpango hali the guy ni mpango mzima....