magombe junior
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,018
- 1,042
- Thread starter
-
- #21
she needs it back na si she need it back. mleta mada ni muongo na mjivuni. to hell...
If u knew the story u wouldnt dare say that...by the way u seem so sensitive...wat the matta!
Hahah...so emotional why....is ths u darling!!!
Pole zimfikie anaetakiwa apigwe kibuti, kweli mavi ya kale hayanuki!
kiingereza cha ugoko.dogo acha kuleta filamu hapa.bado kujisifia sura tu.marijali hatuna uongouongo mwepesi hivi.
Ahhahahaha unachekesha ujuee!
Unaamini kila mtu yuko emotional na ishu yako?
Vp unahitaji sympathy?like in oooooh veery sooory you guys meant to be ,so go and grab the chance and blah blah blah!
Ahahahaha mwe!
mhhhhhh mapenzi kizunguzungu
Wema & Diamond Co. LTD
Watu mnapenda kuumiza watu!
Neeeenda bana kwani shiiiing ngaaapi?
Mnaanzisha mahusiano mapya ya nini kama mliyokuwa nayo hamjamaliza biashara?
Sympathy!!!....no
way!!!...i wish some one could tell me a soft way of telin my gal tht we
have to break up.....and getn back to women i ever loved....
kuna watu wana busara umuuuu....wengne wanapenda tu story wana-comment
bt kuna ambao they come critical....i thout i need those...
How do i tell her?,,,put u in her shoes alaf uniambie how would u fill when some one want it off in a such a quick way.....how would u wish to hear thn utakua karb na jib la nimwambiaje..
wakati unaanzisha mahusiano na huyo dada ulikuwa unafikiria nini? hivi unajali kweli hisia za mwenzio? na kwanin uanzishe mahusiano na mtu wakat ya nyuma bado umeyahifadhi moyon? halafu unaonekana huna msimamo kabisa kijana! i wonder hata hyo familia yako itakuaje!
Kwahiyo unataka kupiga two in One?
Wewe bora uwe mkweli kabla hamjafika mbaaali maana sahizi bado kabisa penzi changa ...so tell her the truth dont waste her time..ili ajipatie mwingine maisha yaendelee..
Maumivu yapo lakini bora ya sasa kuliko ya baadae..
Hope she will get it....pia niliona ni wazo zuri ispokua bado niliona litaambatana na maumivu ......