She need it back, am confused

She need it back, am confused

Mwanaume kuwa na msimamo bana usituaibishe wanaume wenzako,iweje mwanamke akufanye hivyo??hata kama alikuwa mwanamke mzuri kiasi gani usikubali akuendeshe kama gari bovu alikuwa na mtu mwingine kagongwa kaachwa now anakuona wewe wa maana before ungekuwa wa maana angeweza kukuacha na kuwa na mtu mwingine??hujifikirii wewe mwenyewe kama later itakuja kula kwako ukirudiana nae na anakuona unampenda sanaa??usikubali kuchukua ushauri wa kipuuzi eti wa kuachana na mwanamke wako wa sasa hivi la sivyo utaonekana upo soft kwa huyo mwanamke na atakuendesha ndani ya nyumba,

Mwambie ---- off na nina mwanamke wangu mwingine now,that's what I did simple hamna haja ya kulemba why atiwe sehemu nyingine apigwe chini then aje kusema anakuona wewe ndio unafaa??ungekuwa unafaa asingekuacha mwenyewe angekuwa na wewe kwa kila hali,simamia msimamo wakoo kama mwanaume

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Umesema kwa hisia...ni kwel ndo mana am jst bother myself namwambiaje nlienae now....tht x of mine n msichana ambae i realy an trully love na kikwazo kilikua the guy ambae alikua nae....so km wamemalizana ts my go ahead coz ata nlienae siishi kumfananisha na yule..

Kwa hiyo upo tayari kwenda kula shahawa za mwanaume mwenzio au sio??kwanza how old are you??

Usitake kumuumiza dada wa watu na usijaribu kuishi maisha ya hivyo la sivyo utapata tabu kuicontrol family yako....bakia na mwanamke wako na ishi nae kwa amani,achana na x vicheche hao,wanakuona unafaaa wakishatumiwa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
It will hurt but its better telln the truth to her thy face and express why you think she cant be the one,dont call just meet and talk to her she will cry and heart broken but its better now than later
To ur ex...be sure she is back for good and she love you not that she want a shoulder to lean after things turns bad,why did she leave at the first place?what makes u so important now than before?why is that suddenly want u for her self while she knows you were in relationship?!.!
Otherwise its your life,its your heart and whatever you decide it will change your life in anyway so stay put,think clearly and pray for wisdom....
 
If u knew the story u wouldnt dare say that...by the way u seem so sensitive...wat the matta!

So kumbe unatuchora tu mkuu??weka hiyo full story basi tukushauri ila kama story yenyewe ni hii hapa umeweka kwenye thread then nitasema upo wrong kama utamuacha mwanamke wa sasa...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Unataka kurudi kwa aliyekusaliti? We are waiting for same story hapa jf kutoka kwa huyo msichana unayetaka kumuacha, kwani huyo x akikusaliti mara ya pili utarudi kwa huyu wa sasa na kuomba mrudiane, then naye atakuwa dilemaa atapost hapa kuomba ushauri arudi au
 
Nimegundua muanzisha thread anataka tumpe hope za kurudiana na x wake na hataki negative comment maana comment zote ambazo amepewa za kuachana na x wake wa zamani maana ametumika na ameachwa anazipinga ila zile ambazo zote wamemshauri aachane tu na mwanamke wake wa sasa amekubali na kuzifurahi coz ndio anachotaka

Cc snowhite

Last edited by a moderator:
Mwanaume kuwa na msimamo bana usituaibishe wanaume wenzako,iweje mwanamke akufanye hivyo??hata kama alikuwa mwanamke mzuri kiasi gani usikubali akuendeshe kama gari bovu alikuwa na mtu mwingine kagongwa kaachwa now anakuona wewe wa maana before ungekuwa wa maana angeweza kukuacha na kuwa na mtu mwingine??hujifikirii wewe mwenyewe kama later itakuja kula kwako ukirudiana nae na anakuona unampenda sanaa??usikubali kuchukua ushauri wa kipuuzi eti wa kuachana na mwanamke wako wa sasa hivi la sivyo utaonekana upo soft kwa huyo mwanamke na atakuendesha ndani ya nyumba,

Mwambie ---- off na nina mwanamke wangu mwingine now,that's what I did simple hamna haja ya kulemba why atiwe sehemu nyingine apigwe chini then aje kusema anakuona wewe ndio unafaa??ungekuwa unafaa asingekuacha mwenyewe angekuwa na wewe kwa kila hali,simamia msimamo wakoo kama mwanaume

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Wauu...such a wonderful advice...ntachanganya na zangu....thnx much for concern
 
Unataka kurudi kwa aliyekusaliti? We are waiting for same story hapa jf kutoka kwa huyo msichana unayetaka kumuacha, kwani huyo x akikusaliti mara ya pili utarudi kwa huyu wa sasa na kuomba mrudiane, then naye atakuwa dilemaa atapost hapa kuomba ushauri arudi au

Oooky...kumbe nlisema nlienae yupo jf ee...au umekarr..by the way thnx for tge words
 
So kumbe unatuchora tu mkuu??weka hiyo full story basi tukushauri ila kama story yenyewe ni hii hapa umeweka kwenye thread then nitasema upo wrong kama utamuacha mwanamke wa sasa...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Asante kwa ushauri...u gat point by the way..
 
Nimegundua muanzisha thread anataka tumpe hope za kurudiana na x wake na hataki negative comment maana comment zote ambazo amepewa za kuachana na x wake wa zamani maana ametumika na ameachwa anazipinga ila zile ambazo zote wamemshauri aachane tu na mwanamke wake wa sasa amekubali na kuzifurahi coz ndio anachotaka

Cc snowhite

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

May be you are right...may be you are not...bt thnx when i decide utapata pakusimamia..
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo upo tayari kwenda kula shahawa za mwanaume mwenzio au sio??kwanza how old are you??

Usitake kumuumiza dada wa watu na usijaribu kuishi maisha ya hivyo la sivyo utapata tabu kuicontrol family yako....bakia na mwanamke wako na ishi nae kwa amani,achana na x vicheche hao,wanakuona unafaaa wakishatumiwa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kama ni kula shahawa za mwngne aaah iyo mbna kawaida....sema ndo ivo ni siri ya ndan....

How old i am doesnt count ila ni kijana ambae cjaoa..

Apa mwsho umesema cha maana......wil focus on tht...
 
It will hurt but its better telln the truth to her thy face and express why you think she cant be the one,dont call just meet and talk to her she will cry and heart broken but its better now than later
To ur ex...be sure she is back for good and she love you not that she want a shoulder to lean after things turns bad,why did she leave at the first place?what makes u so important now than before?why is that suddenly want u for her self while she knows you were in relationship?!.!
Otherwise its your life,its your heart and whatever you decide it will change your life in anyway so stay put,think clearly and pray for wisdom....

This is why we ask for advice....thnx alot
 
Back
Top Bottom