She wants to pay me "in kind"

Mwaka uliopita watu wamekula laki 3 yangu za madeni,kuanzia sasa mpaka kufa kwangu pesa yangu wataisikia kwenye bomba sahv niko makin mno nimegundua watu ni washenz sana
 
Ukitumia kitobo tu, tabia hiyo itakuwa endelevu na utapoteza zaidi ya hiyo senti. Samehe na melango itafongoka.
 
Ili ulipwe kama utakavyo kesi iende mbele kidogo labda kwa mumewe
 
Wanawake walio wengi ukiwakopesha jiandae kutolipwa, hapo cha kufanya fidia pesa yako kwa kumtomba(sex naye) mmalizane kwa namnahyo sahaukulipwa
 
Sasa 'Kenya shilling' inaingiaje ingiaje hapa?

Hata kama upo Kenya (by guessing), why usiwasilishe ujumbe wako kwa TSH?

Wakenya mna taabu sana na ego yenu.

-Kaveli-
 
Chukua bidhaa zake zenye thamani hiyo, au vitu vyake.
akigoma mwambie unaonesha hiyo meseji kwa familia yake
 
Hapo nenda police wape hata 30,000 tu au 50,000 ili wakufanyie kazi yako vizuri wamkamate wamweke ndani atakulipa tu hiyo pesa yako. Yaani anakuzungusha tsh 12,000 tu je angekopa 20,000 si angeahidi kukupa vitu vingi sana? Akupe hiyo pesa. Wape polisi hiyo bakshishi hachukui hata siku mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…