Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,461
- 2,058
Ya Kenya, ni sawa na Tsh 240,000 hvHiyo 12k ni hela ya nnchi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya Kenya, ni sawa na Tsh 240,000 hvHiyo 12k ni hela ya nnchi gani?
Ni Ksh sio TshElfu kumi na mbili tu?
Ndio hatokupaKwa hiyo mkuu unamaanisha hiyo hell sitaipata Tena?
Ili ulipwe kama utakavyo kesi iende mbele kidogo labda kwa mumeweSalute Comrades!
Kuna hii ishu ambayo imenifikirisha sana mpaka nimeona niilete kwenu wadau mnipe mawazo yenu.
Yupo mwanamke mmoja ambaye anafanya kazi ya kuuza bidhaa mbalimbali kama vile mahindi, maharage, ndizi, karanga na mazaga zaga mengine Kama haya.
Basi huyu mwanamke Kuna kipindi alinifata dukani kwangu akaniomba nimkopeshe KSh 12,000 akaizungushe kwenye biashara Yake na akaahidi kuirudisha baada ya wiki 3.
Nikaona isiwe taabu ngoja nimsaidie huyu dada wa watu nikachukua 12000 nikamkabidhi bila hiyana akaenda.
Siku zikaenda wiki tatu alizoniahidi kunirudishia hell yangu nazo zikapita dada wa watu bado hastuki tu.Ikabidi nimkumbushie kuhusu Deni langu akaanza kuzuga zuga tu na kunipiga kalenda eti nisubiri kidogo ananiandalia hela yangu.
Mpaka nakuja kuomba ushauri wenu miezi miwili imepita Sasa lakini huyo dada bado ananizungusha hela yangu Hadi nimechoka kumdai.
Huyu mwanamke nimejuana naye tu kibishiara Kuna muda huwa naenda kwake kununua bidhaa mbali mbali kwa hiyo tumezoeana kibishiara tu Wala Sina uhusiano mwingine naye zaidi ya huu wa kibishiara na ukizingatia Ni ameolewa Ana mume na wamebarikiwa watoto wawili.
Sasa leo nimemfata Hadi kazini kwake nikamkoromea Sana na kumwambia anipe hela yangu nisepe sitaki mambo mengi amenikwamisha pakubwa Sana.Aisee mwanamke baada ya kuona hasira zangu amejishusha Sana na kunililia nimuonee huruma mixer kuniambia vijisababu mbali mbali eti ooh kwao walikuwa na msiba kwa hiyo muda huu Hana hela nimvumilie tu.
Nimeondoka nikiwa na hasira Sana kwa sababu sikutaks kuendelea kusikiliza ngojera zake.
Mwanamke aibu imemtoka akanitumia message ndefu Sana akaniambia ako tayari kunilipa penzi ili niweze kumsamehe Deni la pesa yangu.
Akaniambia Kama vipi nitafute lodge nzuri nilipie chumba anipe penzi ambalo mwenyewe anadai hajawahi kumpa mumewe hata siku moja.Baada ya kusoma huo ujumbe wake aisee nimechoka Sana na Ni dhahiri kwamba huyu mwanamke anataka kunikatili hela yangu mazima.
Wakuu, nitumie mbinu gani kumdai huyu mwanamke maana mi sitaki kuendekeza ujinga allioniambia kwa message na pia naheshimu Sana ndoa za watu.Nawaza niende kazini kwake nibebe bidhaa zitakazotosha kufidia Deni langu ila moyo unagoma nahisi nitakuwa namuumiza zaidi.
Pia nikifikiria kusaheme Deni la Ksh12000 naona haiwezekani kbsa hiyo Ni hela nyingi Sana.
Ushauri wenu utanifaa zaidi.Karibuni.
Wanawake walio wengi ukiwakopesha jiandae kutolipwa, hapo cha kufanya fidia pesa yako kwa kumtomba(sex naye) mmalizane kwa namnahyo sahaukulipwaSalute Comrades!

Chukua bidhaa zake zenye thamani hiyo, au vitu vyake.Salute Comrades!

Ushauri wenu utanifaa zaidi. Karibuni.
Kama umemwelewa huyu mwamba basi issue ishaisha hata uzi unaweza kufutwa!Ni
Mekuelewa mkuu
Unyama unyama yani, atalipa tu [emoji3][emoji3][emoji3]
Hakika mkuy nimeupenda huu ushauri wako nitaufanyia kazi nione Kama utawe a kunisaidia
Sawa mkuuAchana na mbususu mdai pesa yako
Kuwa makini bro, kuna mengi yanaweza kukupata!
Lodge utalipia, nauli utatoa, kufuta jasho utatoa, na uwezekano mkubwa wa kutatuliwa Marinda upo!
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Sawa mkuuUkimla ndio yatakuwa mazoea bora umuweke kiporo dhambi zingine zinaepukika
Nawaza nifanye tu hivyo mkuuChukua bidhaa zake zenye thamani hiyo, au vitu vyake.
akigoma mwambie unaonesha hiyo meseji kwa familia yake
Hapo nenda police wape hata 30,000 tu au 50,000 ili wakufanyie kazi yako vizuri wamkamate wamweke ndani atakulipa tu hiyo pesa yako. Yaani anakuzungusha tsh 12,000 tu je angekopa 20,000 si angeahidi kukupa vitu vingi sana? Akupe hiyo pesa. Wape polisi hiyo bakshishi hachukui hata siku mbili.Salute Comrades!