Pre GE2025 Shehe Ally Mohamed Kadogoo achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Tafadhali usije kupitwa na Taarifa hii, kwamba Shehe Msomi Ally Kadogoo leo amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, baada ya kujizolea 66% ya kura zote.

Uchaguzi huu ulifanyika Kibaha Mkoa wa Pwani

Screenshot_2024-10-05-23-12-26-1.png
 
Huyu Asenga ni ndugu na yule mbunge Asenga wa ccm Jimbo fulani la Morogoro (sijui ni Kilombero) ?
 
Tafadhali usije kupitwa na Taarifa hii, kwamba Shehe Msomi Ally Kadogoo leo amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, baada ya kujizolea 66% ya kura zote.

Uchaguzi huu ulifanyika Kibaha Mkoa wa Pwani

View attachment 3116375
Juhudi na taarifa kama hizi ulitakiwa ungetuletea trh 23/9/24 lakini mkamuacha Mbowe na mwanawe tu!
 
Tafadhali usije kupitwa na Taarifa hii, kwamba Shehe Msomi Ally Kadogoo leo amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, baada ya kujizolea 66% ya kura zote.

Uchaguzi huu ulifanyika Kibaha Mkoa wa Pwani

View attachment 3116375
👋🏽👋🏽👋🏽💪🏽💪🏽💪🏽💕💕💕👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽
TUTAWAPA USHIRIKIANO MKUBWA MAKAMANDA TUONDOLEENI HILI KADHIA LA KIJANI LINANYANG'ANYA ARDHI ZETU.

PWANI IKINYOOKA NCHI IMENYOOKA
MUNG awalinde, viva chadema chama langu
 
Back
Top Bottom