Shehe Dkt. Sule: Kinachowaunganisha Waislamu na Wapalestina ni Msikiti wa Al Aqsa siyo Ardhi. Wakristo hawahusiki kwa lolote!

Asijaribu kivipi wakati huo msikiti ni hekalu la bwana miaka yote.
Hao wavaa kobazi wamevamia na hawataki kuondoka.
Msikiti(hekalu)wenyewe ushabondwabondwa mpk saa hii.
Unaongea nini we wakuja
Tukiongelea mashariki ya kati inawahusu waisilamu tu wakirito hawa husiki sababu muanzilishi wa ukirito Paul alikuwa mpingaji mkuu wa yesu mpaka akawaua wanafunzi wake kwa kuwakata vichwa baada ya yesu kupaa mbinguni,bora ya yahudi kidogo sababu yeye anagobea kipande cha aridhi alicho nunua bubu yake Aburahamu mtume wawakirito Paul wala hana ukaribu wowote na iburahimu wala yesu wala isumshiri wala isiaka bali yeye alikuwa mpingaji wa yesu pia alikuwa khanithi
 
Hivi uyahudi ni dini au ni jamii? Na je hakuna myahudi muislam? Je wanaosali pale wote ni waislam wa Palestina au hata waislam wa Israel? Au waisraeli hakuna waislamu?
 
Wayahudi ni mungu wa wakristo.
Daah! Hii comment ungeitazama kwanza. Ina ukakasi na Inaleta mashaka sana. Kumbe Mungu hayupo mbinguni yupo uyahudini? Mungu hadhihakiwi. Katika Hili, ni wewe mwenyewe kuililia nafsi yako.
 
Akuanza kununua mashamba la bali alinunua kiwanja cha kuzikia kwa wenyeji,hoja ya msingi iburahimu alipo hamia palesita kutoka Iraq na mkewe waliwakuta watu ambao ndio wapalestina waleo
Waliwakuta Waarabu waliojulikana kama Jamii ya Mafalah!
 
Muulize daktari sule,,,kua hilo jina palestina ni lugha gani????
Na hao watu waliokua caanan ni waarabu???
Na muulize alikotoka Ibrahim kwenye uri ya wakaldayo ni iraq???
AKIKUJIBU YOOTE NITAG...
 
Daah! Hii comment ungeitazama kwanza. Ina ukakasi na Inaleta mashaka sana. Kumbe Mungu hayupo mbinguni yupo uyahudini? Mungu hadhihakiwi. Katika Hili, ni wewe mwenyewe kuililia nafsi yako.
Yesu siyo myahudi?
 
Muulize daktari sule,,,kua hilo jina palestina ni lugha gani????
Na hao watu waliokua caanan ni waarabu???
Na muulize alikotoka Ibrahim kwenye uri ya wakaldayo ni iraq???
AKIKUJIBU YOOTE NITAG...
Walikuwa kina Nelson, au siyo?
 
Sasa mambo ya mayahudi na makrsto yanakuhusu nn mpaka ujaribu kuwasahiisha wakati huamini mapokeo yao.
Wewe deal na mambo ya maarabu na maislamu kwa sababu unaamini mapokeo yao
Wewe hujaelewa kinachoongelew. Sule katiwa maoni yake, au yakubali au yakatae kwa hoja.

Msikilize huyu alikuwa Waziri Mkuu wa Uyahudi anasema nini?


View: https://youtu.be/L0ZFeDWhlDo?si=muFLlIPdQ04oVXSs
Sasa jiulize, nikuamini wewe? Au nimuamini Sule? Au nimuamini huyu aliyekuwa waziri mkuu wa Israel?
 
Shehe Dkt aha ha a ha a. Maisha yanaenda kasi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…