25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
Tukiongelea mashariki ya kati inawahusu waisilamu tu wakirito hawa husiki sababu muanzilishi wa ukirito Paul alikuwa mpingaji mkuu wa yesu mpaka akawaua wanafunzi wake kwa kuwakata vichwa baada ya yesu kupaa mbinguni,bora ya yahudi kidogo sababu yeye anagobea kipande cha aridhi alicho nunua bubu yake Aburahamu mtume wawakirito Paul wala hana ukaribu wowote na iburahimu wala yesu wala isumshiri wala isiaka bali yeye alikuwa mpingaji wa yesu pia alikuwa khanithiAsijaribu kivipi wakati huo msikiti ni hekalu la bwana miaka yote.
Hao wavaa kobazi wamevamia na hawataki kuondoka.
Msikiti(hekalu)wenyewe ushabondwabondwa mpk saa hii.
Unaongea nini we wakuja