Shehe Mwinyi mdogo ameamua kuifanya Zenj emirate au sheikdoom?

Wanatakiwa wawe huru kujiunga na umoja wa nchi za Kiislamu.
Katika mambo ambayo huwa nashangaa ni kuinyima Zanzibar kujiunga na huo umoja. Hii inawafanya wapate sababu ya kuhalalisha failure ya CCM kwa kusingizia kuwa umaskini wao unatokana na kukatazwa kujiunga na umoja wa nchi za kiislam. Tungebadilisha muundo wetu wa muungano, tuwape wanachotaka, i bet hawatakuwa na mafanikio wanaodhania. ngekuwa kujiunga na umoja huo kunabadilisha nchi positively, nchi nyingi za kiislam zingeongoza kwa mengi.
 
Hapa sijaelewa kivipi anaifanya nchi iwe ya kiislam?
Juzi hujaona wamepewa sikukuu kusheherekea mwaka mpya wa kiislamu kwa mara ya kwanza kwenye historia ya Muungano, japo katiba haitambui kwamba huu ni mwaka wa dini fulani wala dini fulani.
 
Naona kama Zenj, taratibu, inaanza kuwa taifa la kiislam.
Kwa lipi?
Nilidhani msomi kama Daktari Mwinyi asingekuwa hovyo hivi.
Uovyo wake ni upi?
Je, tungoje na Tanzania nzima kuwa taifa la kiislam?
Umeenda mbali sana kwa chuki za kidini kwenye eneo ambalo halipaswi kihusishwa na dini
Je, hatua hii haivunji muungano japo ushavunjika zamani kwa kukosa maana na mantiki?
Ikiwa huu muungano ushavunjika kama unavyodai, unauliza nini kubunjika kwake? Ukimuona mtu amekufa kwa kula sumu halafu ukauliza swali "jee mtu anakufa kwa kula sumu?" Swala hili linamfanya muulizaji sonekane mjinga (ignorant), au mpumbavu, au limbukeni. Tujitahidi kuangalia athari ya tunachoandika kabla hatukuandika.
 
Mimi always napenda Kuongea uhalisia ulivyo, Zanzibar ni taifa la kiislamu kama yalivyo mataifa mengine mfano US, UK Haya ni mataifa ya kikristo nk Kwa mataifa mengine, maneno ya kimaandishi ya kuwa ni secular ni uongo, kwenye field mambo hayako hivyo...Yale maneno ya Tanzania Ni secular iko Huku kwetu Tu lakini si Zanzibar, Sisi tunawalazimisha wale Jamaa, suluhisho ni Kila mtu afe na chake au vipi?
 
UK sio taifa la Kikristo, Keir Starmer ni atheist, meya wa London ni Muislamu, Rish Sunak ni muhindu.
UK imebaki taifa la Kikristo kwenye historia tu.
 
Comoro na Somalia ni mataifa ya Kiislam tena majirani zetu ila sioni Uislam umewasaidiaje katika kujiletea maendeleo.
Wacomoro kila siku wanazamia Mayotte ili wakatawaliwe na kafir Macron
 
"Ni bahati mbaya na hasara kiasi gani" are you serious?
Islamophobic.
 
Kuna lile gazeti lao humuonesha mara kwa mara akiwa ndani ya uislam. Mara mwinyi akutana na masheikh, mara mwinyi akutana na kadhi wa zanzibar, mwinyi aswali msikiti wa jambiani, yaani ni full coverage ya mambo ya kiislam kana kwamba zanzibar ni jamhuri ya kiislam.
 
Waache na nchi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…