Shehe Mwinyi mdogo ameamua kuifanya Zenj emirate au sheikdoom?


Kindly, spare me. Wapi nimesema najua yote wakati mimi siyo Mungu wala muungu kama samuya? J
Kindly, spare me. Wapi nimeandika kuwa najua yote wakati mimi siyo Mungu wala muungu kama samuya? Jenga hoja badala ya kuhanyahanya na utaataa mwanangu.
 
Katiba yenu ipi wakati masuala ya dini Kila mtu anaamua kivyake...Au unajua nini kuhusu mambo ya dini Kati ya Zanzibar na Sisi?...mambo zenji ni magumu kuliko unavyodhani, wewe jihangaishe Tu wakati homework yako hujafanya vizuri
Soma ibara ya 19 ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Danganyika sorry Tanzania
 
Sijui kama unajua kuwa hujui unachoandika mbali na kutojua lolote. Hujui kuwa bila katiba hakuna nchi wala. huo muungano wako? Kama wengi wa watu wetu ni kama wewe, basi tumekwisha.
 
Kumbe!!

Kuna vita vya kidini na sio vya maendeleo!!?
Tatizo hata wakristo wakishika hasa wakatoliki maisha yanakua Magnum sana!!

Ili wafanikiwe wanapaswa kuhakikisha wanalambisha watu asali kiuchumi!!

L akini kama ni hivi hivi Bado kutakua hakuna utofauti wa hao na wao!!!!

Vita hii ni ya kijasusi sana yaani the Romans vs the islams Wala sio yetu!!

Nitasimama upande wa Mwenyezimungu TU,Dini zilikuja na na meli na Mungu alikuwepo kabla ya Dini kuja!!

Kwanini kuuana wanangu!!?
 
Egypt ni nchi ya Kiislamu, katiba yake inautambua uislam kama dini ya serikali! Lebanon ina mfumo rasmi wa kugawana madaraka kati ya dini za wakristo na waislamu hivyo kila dini huangaliwa kwa u-special zaidi maana wapo 50/50 in terms of population.
 
Hata mimi sijali nchi inaongozwa na viongozi wa dini gani. Hata wote wangekuwa waislam, kama uongozi ni mzuri nitashangilia. By the way, wakristo wameongoza lakini hakukuwa na unafuu wowote. Kinacholeta shida ni pale viongozi wanapotumia dini zao kulipa visasi au kujaribu kufanya remmedies ya nadharia ambazo hazipo. Samia na Kikwete ni mfano.
 
Umesema gazeti lao,sasa wewe unakaa zanzibar? Ulitaka Mwinyi asionyeshwe akiwa msikitini ila aonyeshwe akiwa bar?

Acheni ujinga jamani, au akionyeshwa akiwa amevaa kanzu ni Uislamu tayar,kanzu ni vazi tu,hata makafiri uarabuni wanavaa na hata bar wanaenda nayo

Kanzu kwenye dress code ya bunge la jamhuri ya Tanzania linaruhusiwa pia,toeni ukungu kwenye vichwa vyenu
 

Fact​

 
Sijui kama unajua kuwa hujui unachoandika mbali na kutojua lolote. Hujui kuwa bila katiba hakuna nchi wala. huo muungano wako? Kama wengi wa watu wetu ni kama wewe, basi tumekwisha.
Umehamisha hoja baada ya kuona kuwa unachokisema kuwa ni kweli kinagongana na uhalisia, yaani unalazamisha Tu...

Nilishakujibu kuwa masuala mengi yanayohusu dini ya kiislamu Zanzibar hayapo kwenye mambo ya muungano unayotaka ww kulazimisha ionekane Yapo huko, Uhuru wa Imani, dini umegusiwa kidogo kwenye katiba ya Jamhuri yaani haijaenda deep zaidi Tu ya kusisitiza Uhuru wa kuabudu na siyo masuala ya msingi au ya ndani zaidi kwenye dini, ukija kwenye dini Yao ya uislamu Zanzibar Wana mamlaka kamili Sisi haituhusu ndio maana unaona mambo unayolialia nayo wakati wenzako wanasimamia katiba yao...

Sio Kila Jambo ni la muungano, Ofisi ya mufti ambayo ni Taasisi ya dini ipo chini ya serikali na na Rais anashiriki kuteua mufti na nenda kasome katiba ya Zanzibar, ni tofauti na kwetu, unaanzisha mada ambayo hujui unakusudia kugusa wapi...Hujui msingi wa hoja zako na rejea mwanzo kabisa why nilisema Zanzibar ni nchi ya kiislamu?...
 
Soma ibara ya 19 ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Danganyika sorry Tanzania
Hujui unajadili nini, sasa sehemu ya hiyo Ibara si imeongelea Tu Uhuru wa mambo ya imani sasa inahusiana nini na mada yako?, maana ulikuwa unalalamika kuwa Zenji inageuzwa emirate ambapo ukiangalia wao wanafuata katiba yao.

Kasome Sheria ya ofisi ya mufti, huoni kuwa unajijibu na kujipinga, nenda kasome katiba ya Zanzibar utaona namna wao Wana Uhuru wa kuamua mambo Yao ikiwemo ya dini, dini (kiislamu ) na serikali Zanzibar zinakaa sehemu moja ndio maana kuna Ofisi ya Mufti ambayo ni ya serikali, mbona hakuna Ofisi ya Catholic, KKT nk iliyo chini ya serikali ya Zanzibar kama kweli serikali haina dini?,

Secular iloyopo (Zanzibar)ni ya kipande kidogo mnooo .....na ndio hoja yangu Inakuja hapo kuwa Zanzibar ni nchi ya kiislamu, Sisi tunawalazimisha tu na tumejichanganya , hujui kuwa mufti (kiongozi wa kiislamu Zanzibar) ni mtumishi wa umma (Serikali)??.... muungano Una missing pieces kibao.
 
Kwaiyo mnataka kuvunja Nazi πŸ‘ˆ
au kuvunja Ungo πŸ‘ˆ

Mwalimu Nyerere katawala miaka 20+ lkn Waislam wametulia
kinyaaa πŸ‘ˆ

Leo nyinyi kondoo kila mkiona Rais muislamu

Mnajivika Unajimu πŸ’© wanataka kuleta Taifa la kislam

Wanataka kuleta Waarabu

Wanaleta wasomali

KONDOO watabaki kuwa KONDOO kuwaelewa ni ngumu mana nafsi zao kumeoza!!

wapo km walevi Vipofu Mazuzu kwa chuki dhidi ya UISLAM πŸ‘ˆ

Ndiomana wanauwawa mpaka na Wachungaj wao πŸ‘ˆ

Mana kiakili ni mizwazwa kupitiliza
Yanadanganywa kama vitoto vidogo

Wengine utawasikia eti Waislam wanalengo kuja kuwauwa Wakristo 🫎🫎🫎

kisa kadanganywa na Mchungaji wake na Sadaka kamzawadia juu!!!

Lkn uyo muumini kwakuwa ni zwazwa Bin KONDOO aliepotea kichwa kimejaa maj🫎iπŸ‘ˆ

ajiulizi ndani tu ya Familia yao kunakosekana ndugu lkn Dini ile kindhanπŸ‘ˆ

je unaweza kumuuwa uyo ndugu yenu kisa Dini yake tu..


Kama kwenu kupo ivyo ndivyo Familia nyingi kwasasa zipo ivyoπŸ‘ˆ

huwezi kukosa Dini tofauti ndani ya Familia atakama mtamtenga lkn yupo
ni sehemu ya Familia usika.

Punguzeni Chuki kwanza kwenye Nafsi zenu πŸ‘ˆ

ndipo mtajua Tanzania ni ya wa Tanzania na Tanzania inajengwa na kuendelezwa na Dini zote Rais yoyote yupo kwaajili ya Tanzania sio Dini yake

Rais Samia kasaidia Makanisa mengi tu makubwa na madogo mpaka kanisa Kotoliki limepewa pesa nakusaidiwa Ujenzi lipo kanisa moja limepewa milioni 100. Nk.

Swali kwa kondoo???

Kama Rais Samia anaunga mkono nchi kutawaliwa kislam mbona basi anasaidia Makanisa mengi ivi??

Mbona chuki zenu zinakosa kichwa kiakili!!

Punguzeni Uzwazwa kiakili Mchungaji kama anakudanganya au kukupanda chuki dhidi ya ndugu yako muislamu πŸ‘ˆ

mkalipie Mchungaji mwambie wewe pepo toka kwenye kiwiliwili cha Mchungaji πŸ‘ˆ

rip JPM nayeye mbona kasaidia misikiti mingi tu.

TANZANIA Chuki imebaki mitaji ya Wachungaj vimeo.

Mashekh ujinga wa Kuwachukia Marais Wakristo waliacha tangu kipindi cha Benjamin William Mkapa

lkn Wachungaj sijui lini wataacha kupotosha awa KONDOO
waliopotea πŸ‘ˆ
 
Gregorian calender inahesabu kutoka kuzaliwa kristo yaani A.D anno domino hivyo siku ya tarehe mosi wakiristu husheherekea mazazi ya yesu na leo ni miaka takriban 2026 toka yesu azaliwe

Kalenda ya kiarabu imeanza kuhesabu toka kuhama kwa Mtume kutoka madina kwenda makkah

Hizo zote ni kalenda zinaweza kutumika katika mifumo yote na dini zote lakini genesis yake ni kutokana na imani ya Yesu na Muhammad
 
Essence ya calender sio inaanza kuhesabiwa wapi bali mzunguko wake unategemea wapi ( inaweza kuanzia popote tu sawa) Gregorian calendar inategemea mzunguko wa dunia kulizunguka jua, hapo inahitaji Hesabu makini sana. Isiwahi Wala isichelewe kutoka mzunguko halisi.
 
Kwahiyo unabisha kuwa leo sio mwaka wa 2026 baada ya kuzaliwa kwa yesu?
 
Hujaelewa Hoja
Wewe ndio unapindisha hoja, unataka kutuaminisha gregorian kalenda sio ya kikiristu kitu ambacho ni uongo

Ni sawa niseme kalenda ya hijr sio ya kiislam maana mara ya kwanza iligunduliwa na wa-egypt wakiwa wanahesabu vijiti kufuata muandamo wa mwezi ndio baada ya Mtume kuhama madina wakairekebisha na kuanza kuhesabu upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…