Shehe Ponda: Kwanini Spika anaendesha Vikao vya Bunge Siku ya Ijumaa? Au ni kiburi?!

Shehe Ponda: Kwanini Spika anaendesha Vikao vya Bunge Siku ya Ijumaa? Au ni kiburi?!

Huna akili wewe,kwa kukusaidia tu,sio kweli eti Worldwide kua Jumamosi na Jumapili tu ndio siku za mapumziko kama unavyodai,uwe unaficha upumbavu wako kwa kukaa kimya kwa kitu usichokijua.
Uwe unafkria kabla ya kuquote wanaume wanaokuzidi akili
 
Nitakuwa Mwislam wa mwisho kuendekeza huu ujinga....

Kwa muktadha huu, Mungu anatuhimiza kufanya ibada na sio kupumzika!

Na kama kuna Mwislam anadai anashindwa kufanya ibada siku za Ijumaa eti kisa ni siku ya kazi huyo ni Mnafiki na mwongo mkubwa!!
Nadhani wewe na baadhi ya wachangiaji hamjamuelewa Sheikh Ponda. Anachohoji ni kwa nini Speaker anaendesha vikao vya bunge "MDA WA IBADA'' yaani (During Friday payer time). Sidhani kama kuna mtu anadai ijumaa iwe siku ya mapumziko.
 
Uko sahihi Kabisa
 
Yeye anazungumzia bungeni
Asipokemewa atafika mpaka Maofisini..
Nchi inaongozwa na Rais wa dini yetu, kwanini hakusema wakati John anachangisha hela ya msikiti kwenye Kanisa Katoliki?

Udini unaanza hivi, mimi naupinga huu upuuzi kwa nguvu zote
 
Ndio maana madrasa zenu zilitakiwa zichunguzwe vitu mnafundisha watot huko!!!mbunge anaetaka kwenda msikitini aende agongeshe kichwa chini afu arudi bungeni,,,,tatizo wabunge waislam nao wanafiki hawataka kukosa vikao sababu ya posho hakuna aliye wazuia,,note;hii nch haiendeshwi kwasheria za kiislam
 
Nadhani wewe na baadhi ya wachangiaji hamjamuelewa Sheikh Ponda. Anachohoji ni kwa nini Speaker anaendesha vikao vya bunge "MDA WA IBADA'' yaani (During Friday payer time). Sidhani kama kuna mtu anadai ijumaa iwe siku ya mapumziko.
Kwa kuangalia masuala ya kiimani, Mwislam wajibu wake ni kufanya ibada na wala sio kufuatilia au kuhudhuria vikao vya bunge!

Sawa, speaker anaendesha vikao vya bunge wakati wa ibada... huyo Mwislam inamzuia vipi kwenda kufanya ibada?!

Ina maana kuna Waislamu wanashindwa kwenda kusali Ijumaa kwa sababu wanahudhulia vikao vya bunge au wanafuatilia vikao vya bunge?! Na kama wapo, hiyo inaweza kuwa excuse mbele ya Mola wao?!

Heshima anayoitaka Ponda ina msaada upi kiimani kama sio tu "...mbona wale hivi, na sisi vile"?
 
Shehe Ponda amehoji kupitia ukurasa wake wa Twitter kwanini Ijumaa isiheshimiwe kwa bunge kama ilivyo Jumamosi na Jumapili?

Ponda anasema Jumamosi ni Siku ya Ibada
Jumapili ni Siku ya Ibada
Na Ijumaa ni Siku ya Ibada, sasa kwanini Jumaa kareem isiheshimiwe au ni kiburi tu!

Sabato njema
Siku za mapumzika ni mbili tu dunia nzima i think uarabuni ijumaa ndio inaheshimika sana
 
Back
Top Bottom