1881Okoza
JF-Expert Member
- Oct 3, 2022
- 693
- 949
DuuuhShehe atakuwa amemiss ile huduma ya kuingiliwa aliyokuwa akipewa gerezani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuuuhShehe atakuwa amemiss ile huduma ya kuingiliwa aliyokuwa akipewa gerezani.
Mimi siyo mwislamu lakini nimemuelewa PondaKwani aligoma kuheshimu muda wa ibada? Je kuna mbunge yeyote alizuiliwa na spika kwenda kusali ijumaa muda wa ibada ulipofika? Tulikuwa na Spika nguli Adam Sapi na mwislam lakini alikuwa anaendesha vikao siku ya ijumaa na muda wa ibada ukifika anaenda zake kusali pamoja na waislam wenzake. Pia tulikuwa na naibu spika mwislam aitwaye Juma Akukweti. Kadhalika aliendesha vikao vya bunge siku ya ijumaa na muda wa ibada ukifika huenda kusali.
Tatizo la Ponda ni kuwa hajasoma hivyo matatizo yake ya kutokwenda shule yasiitie matope dini yake ya kiislam. Nawaomba waislam mwambieni ukweli huyu mtu wenu vinginevyo anawaaibisha na kuwapaka matope sana!!
Anataka mjadala wa watu wa dini zingine wasikubali kuchinjiwa wanyama na Waislamu. Ataleta vurugu muda si mrefu.Huyu bila shaka ni shehe wa kichina!! Ina maana hajui kuwa koran haimzuii mwislam kufanya kazi ijumaa? Hata waajiriwa huenda kazini kama kawaida isipokuwa muda wa ibada ukifika wanaruhusiwa kwenda kusali na kisha kurudi kazini kuendelea na kazi!! Hata wanaofanya kazi zao binafsi huamkia kwenye kazi zao siku ya ijumaa na ikifika muda wa ibada huondoka kwenye shughuli zao na kwenda kusali. Wafanya biashara waislam wa maduka kariakoo hali kadhalika hufungua maduka yao kama kawaida siku ya ijumaa na huyafunga muda wa ibada ukifika na kisha hurejea tena baada ya ibada. Hata mlalamikaji mwenyewe hufanya kazi siku ya ijumaa na muda wa ibada huenda zake ibadani na akarejea tena!
Huyu shehe wa kichina naona anataka kulazimisha vuruga isiyokuwepo na lazima adhibitiwe mapema kwa nguvu zote!! Inaelekea anahamu tu ya kupewa airtime asiyoistahili kwenye jamii!!
Wapi aliposema Iwe mapumziko?Moja ya vipindi sheikh ponda kajamba na kuharisha ni hiyo point, watu tunatamani hata jumapili kazi zifanyike kama kawaida ili tukimbizane na uchumi wa dunia yeye anawaza kuongeza siku za mapumziko
Kwani wabunge waislamu huwa wanakatazwa kutoka bungeni waende kuswali?Au milango yote hufungwa na hatakiwi mtu atoke?Madai mengine yawe na mipaka.Anataka uheshimiwe nadhani
Kwa mfano bunge liahirishwe Saa 5 asubuhi badala ya mbunge kuja na mavazi ya Ibada bungeni kisha kwenda nayo msikitini Saa 7 bila kubadilisha
Jumatatu ni mitume na manabii.Juma4 Siku ya Waganga wa Kienyeji
Unatafuta kulogwa, Mshana Jr kazi zake anafanya usiku wa manane,Mshana jr naye ataomba J4 itambulike
ndiyo maana wachina hawajali. siku zote ni za kazi. na wanaoabudu kupitia miungu ya baba zao watadai siku ya idaba zao itengwe, mwishowe hakutakuwa siku ya kazi.Shehe Ponda amehoji kupitia ukurasa wake wa Twitter kwanini Ijumaa isiheshimiwe kwa bunge kama ilivyo Jumamosi na Jumapili?
Ponda anasema Jumamosi ni Siku ya Ibada
Jumapili ni Siku ya Ibada
Na Ijumaa ni Siku ya Ibada, sasa kwanini Jumaa kareem isiheshimiwe au ni kiburi tu!
Sabato njema
Sio kila mtu ana swali hata waislamu wenyewe sio wote wanaenda kuswali Ijumaa lakini hakuna mtu anazuiwa kwenda kuswali na kurudi na hata hilo bunge sijawahi kuona limejaa kila siku kuna gaps na mijadala inaendelea. Ningeelewa kama watu hawarusiwi kwenda kufanya ibada lakini uhuru upo maana hata wako watu Jumapili na Jumamosi wanaingia kazini.Pweinti ni kwamba Muda wa Ibada Siku ya Ijumaa Bunge liahirishwe
Isiwe wengine wako Msikitini wengine wako bungeni wanajadili hoja mbalimbali
Kwanini hilo swali isiiulize serikali pia?Shehe Ponda amehoji kupitia ukurasa wake wa Twitter kwanini Ijumaa isiheshimiwe kwa bunge kama ilivyo Jumamosi na Jumapili?
Ponda anasema Jumamosi ni Siku ya Ibada
Jumapili ni Siku ya Ibada
Na Ijumaa ni Siku ya Ibada, sasa kwanini Jumaa kareem isiheshimiwe au ni kiburi tu!
Sabato njema
kwani maaspika waliopita walikua wanafanyaje siku ya Ijumaa, bunge lilikuwa linaishia Alhamis auShehe Ponda amehoji kupitia ukurasa wake wa Twitter kwanini Ijumaa isiheshimiwe kwa bunge kama ilivyo Jumamosi na Jumapili?
Ponda anasema Jumamosi ni Siku ya Ibada
Jumapili ni Siku ya Ibada
Na Ijumaa ni Siku ya Ibada, sasa kwanini Jumaa kareem isiheshimiwe au ni kiburi tu!
Sabato njema
Ndugai alikuwa anaahirisha saa 6:00 Mchana na Bunge kurejea tena saa 11:00 jionikwani maaspika waliopita walikua wanafanyaje siku ya Ijumaa, bunge lilikuwa linaishia Alhamis au
Na umaskini tulio naoIwe sio siku ya kazi
Shehe Ponda amehoji kupitia ukurasa wake wa Twitter kwanini Ijumaa isiheshimiwe kwa bunge kama ilivyo Jumamosi na Jumapili?
Ponda anasema Jumamosi ni Siku ya Ibada
Jumapili ni Siku ya Ibada
Na Ijumaa ni Siku ya Ibada, sasa kwanini Jumaa kareem isiheshimiwe au ni kiburi tu!
Sabato njema
Bwashee upo?!Siku ya Jumamosi si siku rasmi ya ibada, Jumapili ni siku ya mapumziko tangu kabla ya Uhuru na Jumamosi ilikuwa ni nusu siku kwa watumishi wa serikali kabla ya kuifanya kuwa siku ya mapumziko kwa watumishi wa serikali.
Nimerudi, nilikwenda Ukreni kutafuta mbegu za ngano ili nikazipande Njombe, hata hivyo keshokutwa nitaenda Somalia.Bwashee upo?!
Ubarikiwe